Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wanamuziki wa Kenya, hawakubaliki hata nchini kwao,
yaani mkenya anaweza akakuimbia verse zote za wimbo wa mwanamziki taurus relay wa jamaica au verse zote za kwangwaru ya harmonize ft diamond platnumz , lakini kamwe hawezi kuimba hata verse moja ya wimbo wa jua kali au nyashinski.

nasikia sasa hivi wana struggle kukariri mashairi yote ya ngoma mpya ya rayvanny na diamond ya NYEGEZI.

haki wakenya ni watu wa ajabu sana.
 
Lol.....Nairobi nayo mnajua ina hela kushinda darislum nowonder mchana mnatusi Nairobi ilhali hamchelewi kufika
tunajua wakenya wengi ni washamba wa music entertainment....so tunatumia hiyo advantage kuja kuchukua pesa zenyu.

au kuna ubaya katika hilo?
 
Museven Mungu Anakuona
IMG_20181120_173743.jpg
 
2018 mushaimaliza tayar?????😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏

Yani mutoke 74 mpaka 88 within 10 month ***** unafkiri ni kama unahesabau dagaa😂😂😂😂😂😂😂
Sio lazima uamini hata hujawahi kubali. Sababu ya wanamuziki wenu kutoweza kuwakilsha hapa kenya anymore ni hawa vijana chipukizi...hebu lamba lolo kwanza kabla ukate tenje. Tafuta bundles ama wifi kabla ukurupuke.

 
yaani mkenya anaweza akakuimbia verse zote za wimbo wa mwanamziki taurus relay wa jamaica au verse zote za kwangwaru ya harmonize ft diamond platnumz , lakini kamwe hawezi kuimba hata verse moja ya wimbo wa jua kali au nyashinski.

nasikia sasa hivi wana struggle kukariri mashairi yote ya ngoma mpya ya rayvanny na diamond ya NYEGEZI.

haki wakenya ni watu wa ajabu sana.
Unatoka mishipa shingoni ukieneza propaganda........we love our music first. Hata kuna watanzania wanatamani kufika level ya sauti sol
 
tunajua wakenya wengi ni washamba wa music entertainment....so tunatumia hiyo advantage kuja kuchukua pesa zenyu.

au kuna ubaya katika hilo?
Sasa wewe utacompare swag ya Eastlando na tandale au mwananyamala kwa kopa.....fishing village ndio washamba wamejaa.......pesa za kenya nayo mnamezea mate because you know we can afford your cheap shows za 500 bob.hii pia msishangae mkichezwa kabaya.......tumechoka kupatia maskini za LDC support
 
hio ni creativity au uchafu pesa ya kununua magari mazuri hamuna mumekalia kuunda body kwenye malori

Dar ukipata gari interior ziko hvo unitag...we unadhani ku pimp gari na uweke screens kila kiti ni tsh million ngapi
 
hakuna mwanamziki mtz anayebembeleza kuja kufanya show kenya, do your research. your music promoters and event organizers are to blame. they are the ones who are coming to approach us.

ukweli ni kwamba event organisers wa kenya wanajua kwamba a big event can't make profit and attract a massive turnout of party goers if a tanzania musician is not listed among the main performers.

hata hii wasafi festival ndani ya kenya tunajua si diamond peke yake, kuna mkenya ameweka pesa yake hapo na anajua itarudi tu....diamond asingekubali ku-take risk ya kufanya tamasha kubwa nje ya nchi yake.

ukweli mchungu.
Bila kenya mwanamziki watz anahisi kuwa hajatoka...mwanamziki yyte yule wa bongo..km hajafika kenya hawezi toka kimataifa..thats a fact
 
Back
Top Bottom