Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio lazima uamini hata hujawahi kubali. Sababu ya wanamuziki wenu kutoweza kuwakilsha hapa kenya anymore ni hawa vijana chipukizi...hebu lamba lolo kwanza kabla ukate tenje. Tafuta bundles ama wifi kabla ukurupuke.


Wamechakaa yani hata pesa ya kuingia studio za adabu hawana😂😂😂😂😂😂
 
SGR phase one ni pesa ya tanzania
Phase 2 ndio loan pamoja na pesa za tanzania

Who told u lamu port is fundend by GOK niletee link bro nasubiria pesa ya budget hamuna ***** pesa ya kujenga port munatoa wapi???😂😂😂👏👏👏👏
10 years after Kibaki launched the port GoK wameshindwa ku-raise haha $50mln!
 

Dar ukipata gari interior ziko hvo unitag...we unadhani ku pimp gari na uweke screens kila kiti ni tsh million ngapi
Interior upuuzi mtupi gari body zimechoka kweli kunguni wataacha kuzaliana humo ndani na bahat mbaya zaidi hua munavaa suti wakati wa joto sijui panakuaje humo😂😂😂
 
Have you ever gone beyond tandale? You know nothing about Kenya. I told you kenya is a religious country,we support our gospel musicians to the fullest and you accused me of tribalism. Did you think that we play kwangwaru in church like you do? Your superstitious country is a disgrace.
Acha pombe Za kienyeji tafadhal
 
Back
Top Bottom