Tulia sindano ikuingie. Huja katazwa kuweka za Kenya😂😂😂😂Naona umekosa kazi...mapicha ziliisha ama
Tulia sindano ikuingie. Huja katazwa kuweka za Kenya😂😂😂😂Naona umekosa kazi...mapicha ziliisha ama
So umepanic au????😂😂😂😂Naona umekosa kazi...mapicha ziliisha ama
Haha LDCTulia sindano ikuingie. Huja katazwa kuweka za Kenya![]()
Case ain't closed..still we have a match against Uganda at dar es salaam stadium..Pwahahahahaha....case closedView attachment 939043
😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏vile wakenya walivyojiandaa kumkabili kadoda baada ya kutangaza kwamba kuanzia leo jumatatu narudi jf kujikita katika serious discussions.
View attachment 939073
hawaamini macho yao aiseeJust KariakooView attachment 937398View attachment 937399View attachment 937400View attachment 937401View attachment 937402View attachment 937403View attachment 937404View attachment 937405View attachment 937406View attachment 937407View attachment 937408View attachment 937410View attachment 937411View attachment 937412
Sio kweli.jiji la nairobi lina kilometa ngapi za barabara za lami.na dar pia ina km ngapi pia?lete ushahidi.Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Hayo maloli ya kusomba mchanga yaliyogeuzwa kuwa ya abilia dar yapo?Nimeishi dar na Nairobi. Nasema kwa uzoefu wangu
Npo nairobi mpk ss hapa kamkunji.ukweli ni kuwa dar ipo juu sn afrika mashariki.Kwa haya maswali yako unatuaibisha watanzania hapa labda kama umri wako ni chini ya 18 utaeleweka. Ila kama umezidi hapo hata wanaokusapoti hapa watakuwa wanaona aibu