Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We've tolerated and enriched these ungrateful idiots for so long......mtajua East Africa ni ndogo safari hii.mtajua hamjuiView attachment 939731
these goons be asking for far Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni uswahilini Tan Dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
 
these goons be asking Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni tan dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
Harmonise, Vanessa Mdee, Aslay, Rayvann, we are colonizing you musically.
 
these goons be asking for far Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni tan dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
Tanzanian songs are most watched YouTube music videos in Kenya
 
Tanzanian songs are most watched YouTube music videos in Kenya
December 9, 2016
 
Other songs featured in the top 10 category include Work from Home by American rapper Ty Dolla Sign and Fifth Harmony girl group, This is What You Came For by Scottish record producer and singer Calvin Harris, Kwetu by Tanzania’s Rayvanny, Cheap Thrills by Australian singer Sia and Jamaican rapper Sean Paul, Pillow Talk by English songwriter and singer Zayn and Ain’t Your Mama by American songstress Jenniffer Lopez.
 
niliwahi kusema, mkenya hawezi hepa bongofleva.

kama hutosikiliza bongofleva kwa matatu, utaisikiliza kwa earphone za simu yako.

kama hutosikiliza kwa club, utaisikiliza kwa playlist za fm radio za kenya.

kama hutoisikiliza kwa playlist ya fm radios za kenya, utaisikiliza kwa digital platforms kama youtube, itune, mdundo etc.

and last but not least, kama utajifinya mjanja kwa kuhepa ku-watch bongofleva music videos on youtube and kenya local TV stations, utasikia mziki wa bongofleva ukichezwa kwa radio ya neighbor next door.

whether hamtaki au mnataka, hamuwezi kuzuia mvumo wa bongofleva ndani ya kenya. ndio mziki unaopendwa zaidi na vijana wa EA kwa sasa.

wakenya wapumbavu wachache wa hapa JF mtajibeba wallah....kunyweni sumu mfie mbali kama hasira zikiwapanda.
 
nyie juzi tu hapa si mlikuwa mnasema hamumfahamu? kiherehere cha kumpost umetoa wapi?
hii kutumia kenya kama ngazi imeisha..................huhuhu.We have the best group in AFRICA sauti SOL...............BUY KENYA BUILD KENYA.
 
niliwahi kusema, mkenya hawezi hepa bongofleva.

kama hutosikiliza bongofleva kwa matatu, utaisikiliza kwa earphone za simu yako.

kama hutosikiliza kwa club, utaisikiliza kwa playlist za fm radio za kenya.

kama hutoisikiliza kwa playlist ya fm radios za kenya, utaisikiliza kwa digital platforms kama youtube, itune, mdundo etc.

and last but not least, kama utajifinya mjanja kwa kuhepa ku-watch bongofleva music videos on youtube and kenya local TV stations, utasikia mziki wa bongofleva ukichezwa kwa radio ya neighbor next door.

whether hamtaki au mnataka, hamuwezi kuzuia mvumo wa bongofleva ndani ya kenya. ndio mziki unaopendwa zaidi na vijana wa EA kwa sasa.

wakenya wapumbavu wachache wa hapa JF mtajibeba wallah....kunyweni sumu mfir mbali kama hasira zikiwapanda.

Kenyans have different tastes ...maybe huko pwani utaskia bongo na taarab.....lakini nairobi all genres are represented kuna watu wa soul and classics,kuna wasee wa riddimz,reggae and ragga,kuna wasee wa genge ,rock and maybe hit ya diamond moja.not bongo music coz tanzanians siku hizi sound the same in every song so nothing to fancy there.................oh we even like kwaito and also our vernacular tracks
 
these goons be asking for far Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni uswahilini Tan Dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
wanajidai wanataka fancy life ila nchi wanatokea ndio inayovuta mkia kimaendeleo duniani....LDC.......no more freebies from kenya.....ama tutawaonyesha middle finger na kuwaangusha jukwaani
 
in your stupid head maybe.......................mtajua hamjui
our authority is well aware kwamba wapo wakenya wachache wanaofanya kila hujuma ili ku destroy image ya vijana wetu vinara katika mziki wa bongofleva hasa wale wenye mashabiki wengi kenya.

tunafatilia kila kitu,hatujalala.
hata wasafi festival inayopangwa kufanyika kenya, tunaifatilia kwa umakini sana na kwa tahadhari zote.
 
Kenyans have different tastes ...maybe huko pwani utaskia bongo na taarab.....lakini nairobi all genres are represented kuna watu wa soul and classics,kuna wasee wa riddimz,reggae and ragga,kuna wasee wa genge ,rock and maybe hit ya diamond moja.not bongo music coz tanzanians siku hizi sound the same in every song so nothing to fancy there.................oh we even like kwaito and also our vernacular tracks
hizo ni statement za kujifariji. ukiondoa bongofleva and gospel music, the only genre been competing in having a bigger fan base in kenya is reggae music (ma-riddim).

other genres zinawasikilizaji wachache sana. kwa mfano huwezi ukaniambia mziki wa rock and roll au electronic dance music(EDM) yenye mashabiki wengi europe inapendwa sana kenya. huo utakuwa ni uongo.

BTW katika song of navy kenzo ft diamond platnumz is at number one kwenye current top 100 za application ya mdundo.
FYI mdundo app is owned by kenyans and managed by kenyans.
Screenshot_2018-11-20-07-50-34-454_com.opera.browser.jpeg
 
VINDU VICHENJANGA.......WATU WA LDC HATUWABEBI MGONGONI TENA.................endeni mtafute show mozambique ama uganda
 
VINDU VICHENJANGA.......WATU WA LDC HATUWABEBI MGONGONI TENA.................endeni mtafute show mozambique ama uganda
hakuna mwanamziki mtz anayebembeleza kuja kufanya show kenya, do your research. your music promoters and event organizers are to blame. they are the ones who are coming to approach us.

ukweli ni kwamba event organisers wa kenya wanajua kwamba a big event can't make profit and attract a massive turnout of party goers if a tanzania musician is not listed among the main performers.

hata hii wasafi festival ndani ya kenya tunajua si diamond peke yake, kuna mkenya ameweka pesa yake hapo na anajua itarudi tu....diamond asingekubali ku-take risk ya kufanya tamasha kubwa nje ya nchi yake.

ukweli mchungu.
 
hii kutumia kenya kama ngazi imeisha..................huhuhu.We have the best group in AFRICA sauti SOL...............BUY KENYA BUILD KENYA.
wewe hujielewi kabisa. Muwe na sijui best group in Africa sijui nini we don't care. Our artists do shows in Europe, America and the middle east. They come to Kenya just like they go to those places. Uwapende usiwapende, your fellow Kenyans say otherwise.
 
Ila
mimi sio kama nyinyi vilaza.
kila siku mmekuwa mkipiga kelele mtajitoa kwa kwa battle. na sasa tunakaribia kuingia mwaka wa tatu na bado mpo hapa.
hiyo miaka mitatu tumekuwa tukiwapa kichapo cha mbwa msikitini lakini kwa akili zenu za ngiri mnasahau haraka sana, tutazidi kuwapa kichapo day and night mpende msipende.
Vile Wadanganyika wamepanga foleni ya kupokea viboko from Janerose mzalendo
1542694469471.png

Ya kadoda11 ni special commitee El Matador kazi kwako mzee yuko chini tayari.
1542694674603.png
 
Back
Top Bottom