kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
kudadeki wallah..... bakhresa is something else.Kilimanjaro 7 imewasili dadeki
View attachment 940647View attachment 940648View attachment 940649View attachment 940650
View attachment 940646






kudadeki wallah..... bakhresa is something else.Kilimanjaro 7 imewasili dadeki
View attachment 940647View attachment 940648View attachment 940649View attachment 940650
View attachment 940646






Hahahha hatari kaka 😂😂😂😂kudadeki wallah..... bakhresa is something else.![]()
hamuna hela msee... ile time muta afford kuleta Chris Breezy ndani ya dar is Slum uniamshe.hapana, nyinyi si wajeuri nyinyi ni wajinga.
mnaacha kujaa kwenye show za wanamziki wakenya, mnajaa kwenye show za wanamziki foreigners.
ndio maana wasanii wenyu wanatumika kama curtain raisers kwenye events. (wafungua pazia).
2017 source kenya 74 and tz 52 😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏 labda mupike mpaka iungue tenaKaka ichoboy naona Leo umeniquote na hujashirikisha matusi. That lecture was fantastic. Now you know money can't buy respect.
Back to the discussion.
Kenya GDP is over $80b yenu inachezea 50s .
Hahaha ati 10,000 same na punch(ksh500)unauliza githeri kwenye local restaurant ya mkikuyu...btw pepsi tanzania is the official sponsor of wasafi festival in tanzania.
they have already signed a big deal with wasafi management.
pia kenya kuna makampuni mengi sana makubwa yanaomba ku sponsor wasafi festival kenya. mtajua hamjui... hapa kazi tu.
kuhusu swali lako, jibu hili hapa. images zinajieleza. nimekuwekea na promo image ya wasafi festival ndani ya uhuru garden december 31.
View attachment 940587View attachment 940589View attachment 940590View attachment 940591
hamuna hela msee... ile time muta afford kuleta Chris Breezy ndani ya dar is Slum uniamshe.
subirini mpange foleni kwa geti ya kukatia tiketi tarehe 31 december kwa event kubwa ya wasafi festival uhuru garden.Hahaha ati 10,000 same na punch(ksh500)
Hiii nayo ni umaskini
Tena VIP ni thao(ksh1000)





Lol.....Nairobi nayo mnajua ina hela kushinda darislum nowonder mchana mnatusi Nairobi ilhali hamchelewi kufikasubirini mpange foleni kwa geti ya kukatia tiketi tarehe 31 december kwa event kubwa ya wasafi festival uhuru garden.
mtatakiwa kulipa ksh2000, ksh5000 na ksh15000.
kwa jinsi mlivyo washamba wa burudani, tiketi zitaisha mapema kabla ya wakati.
View attachment 940686


Ila wanamuziki wa Kenya, hawakubaliki hata nchini kwao,Mja alizaliwa juzi na hajui chochote kuhusu muziki. Wasanii wa bongo lazima wapitie Kenya ndio wakubalike duniani

Kilimanjaro 7 imewasili dadeki
View attachment 940647View attachment 940648View attachment 940649View attachment 940650
View attachment 940646

Kwn hapa kamkunji ni mbinguni? Mpk mtu adanganye na wengine wasiamini.???!!!labda anauza nguo gikomba![]()
![]()
Who are terrorists????Hadi mosque ni kitu cha kujisifia? Where terrorists are manufactured? Watu wengine wamelaaniwa kweli
Njoo hapa kimathi road uje upate moja moto.nipo seamean hotel.Rudi Dar basi