Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzizima towers 35flr, 33flr
Btw Mzizima ni jina jingine la Dar
Screenshot_2018-11-20-15-09-18-1.jpg
 
pesa za kenya nayo mnamezea mate because you know we can afford your cheap shows za 500 bob.hii pia msishangae mkichezwa kabaya.......tumechoka kupatia maskini za LDC support
kwa hiyo sisi tukusaidiaje?.

peleka malalamiko yako kwa event organizers wa kenya. wao ndio hu-sign deals na wanamziki wa kitanzania. pole sana.
 
Bila kenya mwanamziki watz anahisi kuwa hajatoka...mwanamziki yyte yule wa bongo..km hajafika kenya hawezi toka kimataifa..thats a fact
waulize event organizers wa kenya kwanini wana recommend ku-sign deals na wanamziki wa tz. watakupa jibu.
 
kuna watanzania wanatamani kufika level ya sauti sol

sina shaka na ubora wa sauti sol. but kwa sasa game yao inafikia ukingoni. walikuwa kwenya kilele cha ubora 2012-2016. kwa sasa wanajikongoja.

halafu shida ya wakenya huwa hamna program ya ku-groom wanamziki wapya ambao watateka airwave za mziki wa kenya. mna ubinafsi sana.

leo hii nikuulize, hao sauti sol kwa miaka yao yote ya umaarufu, wamemuibua mwanamziki gani mchanga wa kenya?.

sasa njoo kwa diamond platnumz, kumuibua rayvanny, harmonize, mbosso na lavalava.

ukija kwa alikiba sasa hivi ana manage vijana wake wanne wanaounda kiba music band na single yao ni moto wa kuotea mbali.

it's pure fact punch after punch.
 
ndio nini hio ili niweze kuweka order?
acha nikusaidie kidogo cos najua hizi metaphor za kiswahili cha tz sometimes si rahisi kwa mkenya kuelewa.

"vumbi la congo" ni neno la mtaani linalotumiwa na vijana wa kitz especially dar es salaam wakimaimisha dawa fulani ya kienyeji ya kuongeza nguvu za kiume.

dawa hiyo hutokea congo drc. wenyewe wa congo huita vumbi hilo "putu-lou".

tunajua kwamba wanaume wengi wa kikenya huwa mnasumbuliwa na uwezo wa kuwafikisha madem zenyu kileleni,so ukihitaji "vumbi la congo" nione.

usijari, nitakupa maelekezo kuhusu dose yake.bila hivyo unaweza ukaishia kubaka wanyama cos mna tabia ya kubaka wanyama.
 
Back
Top Bottom