Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vip kijana hauamini... Ka search Kili Golf uone
Hahaha hajaaamini alijua labda paris😁😁😁😁😁😁
885EBA6C-D9AE-4E28-82ED-6853F046265B.jpeg
30FD1549-E134-4D59-BD2D-ED47B02B60B3.jpeg
439E56B8-5812-458D-9934-170D03F3176A.jpeg
CDA4329F-DF8A-42D4-BB8C-62BAC3AA8D39.jpeg
D3FDEC63-E050-4350-9649-D769F444633F.jpeg
9B9311DA-4532-47D8-B15C-3DC833A90FE9.jpeg
 
kilaza edward wanjala next monday narudi upya jf baada ya likizo fupi.

i'll be having some serious debate about issues that are affecting kenya socially and economically.

i will go toe to toe with you....nataka turudishe ile battle yetu ya 2017 kati ya wewe na mimi mpaka ukaamua kutoweka jf. ukawa unaingia jf kwa alternative account ili usome kinachoendelea.

i hope this time around hutonikimbia maana najua wakenya huwa mnaniogopa sana.

😂😂😂Kilaza no wewe!!😂😂😂
 
Haya ni makosa watanzania wengi wanafanya. Hawajui tofauti ya r na l ndio maana nikakuuliza. Sijui kwa nini umeleta maana ya dhahiri sikuwa nimeuliza. Mnaweza shindwa na wanyarwanda swahili
Kuna siku niliangalia ktn news watangazaji wanapambana Na kiswahili sana, nilivyoona ni kwamba hakuna waalimu wa kiswahili waliobobea Kenya,kiswahili kinachozungumzwa kinaleta maswali kidogo
 
Hebu lete mfano acha kubwabwaja. Tena huwezi linganisha wanahabari na waalimu.
Ni vigumu kukumbuka lakini kulikua na makosa mengi sana,hao wanahabari wamefunzwa na walimu acha uzembe, utaenda ku-andaa habari vipi kama lugha inasuasua..lakini ni kawaida yenu kuzungusha kila jambo
 
Ni vigumu kukumbuka lakini kulikua na makosa mengi sana,hao wanahabari wamefunzwa na walimu acha uzembe, utaenda ku-andaa habari vipi kama lugha inasuasua..lakini ni kawaida yenu kuzungusha kila jambo
Mbona hukuangalia citizen? Ujue wanahabari wengine wameishi Nairobi kama wamezingirwa na watu ambao wanazungumza sheng' hivyo wanaweza kuwa waliambukizwa usheng'. Jaribu kuangalia chaneli zingine. Pia ningekushauri ujaribu kuangalia vitabu vya kiswahili vya Kenya. Havina tofauti na vyenu. Ni kiswahili mufti.
 
Back
Top Bottom