Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasome history kwanza alaf rudi tuendelee unafkiri tanzania ni wabinafsi kama nyie wenye roho mbaya chafu
Taifa la kibepari hilo wala hawakujali ukombozi wa wenzao. Tanzania ilifadhili Jitihada za ukombozi wa Zimbabwe, Msumbiji, Afrika ya kusini, Namibia na hata comoro juzi tu hapo tulishiriki kuikomboa kwa operation anjouan.

Rais Sam Nujoma wa Namibia wakati anastaafu alikuja Tanzania kushukuru. Hata makao makuu ya ukombozi afrika yalikua Dar es salaam. Hata alipokufa Mandela Tanzania ilipewa nafasi maalumu kumuaga kule kijijini kwao Qunu na kama kawaida yake Kikwete akatoa speech bora kabisa.

Nyerere aliamini kuwa si jambo la kupendeza Sisi kujiona huru wakati ndugu zetu wa kusini bado ukoloni unawasumbua. Ndio maana Tanzania pamoja na kuwa Afrika ya mashariki lakini ni mwanachama wa SADC kama heshima ya ukombozi.

kambi za ukombozi yalikua mengi tu ndani ya Tanzania. Saizi yamegeuka shule,mfano shule ya Samora Machel kule Mbeya. Pia campus moja ya SUA imepewa jina la Solomon Mahlangu.

Algeria na Misri zilikua na mchango mkubwa katika ukombozi wa nchi za kusini kuliko Kenya. Walter Rodney na Che Guevara hawakuja Tanzania kimakosa. Achana nao labda history kwao wanasoma maumau tu. Kiukweli bila zile harakati za ukombozi tungekua mbali sana. Hata soo la Uganda liliturudisha nyuma sana.

Asante ichoboy kwa point muhimu sana.
 
Hebu zungumza na mimi kwa ufasaha uone kama nitakosea.....

Huo ni udamvu udamvu tu kwenye usndishi ambao upo kwenye utamshi...

Ndiyo maana hata nyie mna sheng ambayo ni mbovu kupindukia,,hakuna nchi Dunia hii inayoipiku TZ kwa kiswahili

Hata Mmarekani i want,,husema i wanna";;;so vitu vingine ni sleng tu za hapa na pale ila kwa hilo nilimiss typing si kama sijui sijui jinsi yakuandika hilo neno kifasaha.....

I think u get me
Haya ni makosa watanzania wengi wanafanya. Hawajui tofauti ya r na l ndio maana nikakuuliza. Sijui kwa nini umeleta maana ya dhahiri sikuwa nimeuliza. Mnaweza shindwa na wanyarwanda swahili
 
kilaza edward wanjala next monday narudi upya jf baada ya likizo fupi.

i'll be having some serious debate about issues that are affecting kenya socially and economically.

i will go toe to toe with you....nataka turudishe ile battle yetu ya 2017 kati ya wewe na mimi mpaka ukaamua kutoweka jf. ukawa unaingia jf kwa alternative account ili usome kinachoendelea.

i hope this time around hutonikimbia maana najua wakenya huwa mnaniogopa sana.
 
Taifa la kibepari hilo wala hawakujali ukombozi wa wenzao. Tanzania ilifadhili Jitihada za ukombozi wa Zimbabwe, Msumbiji, Afrika ya kusini, Namibia na hata comoro juzi tu hapo tulishiriki kuikomboa kwa operation anjouan.

Rais Sam Nujoma wa Namibia wakati anastaafu alikuja Tanzania kushukuru. Hata makao makuu ya ukombozi afrika yalikua Dar es salaam. Hata alipokufa Mandela Tanzania ilipewa nafasi maalumu kumuaga kule kijijini kwao Qunu na kama kawaida yake Kikwete akatoa speech bora kabisa.

Nyerere aliamini kuwa si jambo la kupendeza Sisi kujiona huru wakati ndugu zetu wa kusini bado ukoloni unawasumbua. Ndio maana Tanzania pamoja na kuwa Afrika ya mashariki lakini ni mwanachama wa SADC kama heshima ya ukombozi.

kambi za ukombozi yalikua mengi tu ndani ya Tanzania. Saizi yamegeuka shule,mfano shule ya Samora Machel kule Mbeya. Pia campus moja ya SUA imepewa jina la Solomon Mahlangu.

Algeria na Misri zilikua na mchango mkubwa katika ukombozi wa nchi za kusini kuliko Kenya. Walter Rodney na Che Guevara hawakuja Tanzania kimakosa. Achana nao labda history kwao wanasoma maumau tu. Kiukweli bila zile harakati za ukombozi tungekua mbali sana. Hata soo la Uganda liliturudisha nyuma sana.

Asante ichoboy kwa point muhimu sana.
Bila kusahau angola, rwanda na burundi tumewaeka sawa sisi , congo usisahau , zambia na uganda na malawi
 
Hawa wanajifanya hawaelewi ila ujumbe ushafika

Aminia
kilaza edward wanjala next monday narudi upya jf baada ya likizo fupi.

i'll be having some serious debate about issues that are affecting kenya socially and economically.

i will go toe to toe with you....nataka turudishe ile battle yetu ya 2017 kati ya wewe na mimi mpaka ukaamua kutoweka jf. ukawa unaingia jf kwa alternative account ili usome kinachoendelea.

i hope this time around hutonikimbia maana najua wakenya huwa mnaniogopa sana.
 
Hawajui historia yeyote kuhusu Afrika ....zaidi ya mau mau yaani ubongo wao umejifunga eneo moja....

Wanachojua ni nairobi tu ni zero kabisa
Upo sawa mkuu, kipindi hicho Oscar kambona ndio alikua Katibu wa ukombozi. Hawa majamaa sijui wanasoma historia ya wapi naona wamekushambulia kama vile uliongea uongo
 
Mimi sijatukana nimeongea ukweli sina uhakika kama wewe walijua hilo na kama walijua kuna wenzako wanabisha vitu vilivyo wazi pasipo na sababu za msingi

Kiukweli Tanzania huwezi ilinganisha na kenya hata robo kuhusiana na historia ya ukombozi wa Afrika tupo mbali kwa hili na mengi na si kenya pekee ni Afrika kwa ujumla ili msikatae jane
Wewe ni kilaza usiyejua chochote. Lazima utukane watu ndio usikike? Akili majimaji rebellion. Why don't you people explain to us about these majimaji rebels
 
Back
Top Bottom