Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii battle ya nadharia mtamiza lini mana thread inakua updated kila mara kwa sababu ya battle ya kipuuzi... Nyuzi zingine ingekua mim ni admin unaipiga pini kuanzia nyuzi, aliyeianzisha na wachangiaji wote isipoku mimi...

Povu ruksa 😊
 
Acha hasira kijana , itakuumiza.
niwe na hasira na nyie? wala, siwezi kupoteza hata sekunde moja nikipata kinyongo kisa wakenya. Never. You goons are annoying and have empty heads but it's why you are here right? we'll make you much better
 
niwe na hasira na nyie? wala, siwezi kupoteza hata sekunde moja nikipata kinyongo kisa wakenya. Never. You goons are annoying and have empty heads but it's why you are here right? we'll make you much better
Sawa Mr, sasa endelea kutuekea mti moja kwa picha mbili
 
Watu wanasonga mbele nyinyi mnabaki palepale. Tattoo inaaffect aje kazi ya polisi
Munasonga mbele wapi mulikua munanafas ya zaidi ya miaka 40 ya maendeleo na hamujatumia chochote wakat tanzania ilipoteza zaidi ya miaka 25 kuzipa nchi za africa uhuru ikiwemo south africa 1994 nafas muliipata hamukutumia leo hii munashtuka kumekucha munatafuta shuka wapi na wapi budaa😂😂😂😂😂
 
Hii picha imefanya nicheke Sana. HII NDIO kijitonyama!???? KWELI NA MOROCCO SQUARE i pale naiona. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na vinjia vya matope!!!? Enhe. Kumbe msiniambie lolote kuhusu kijitonyama. Hapo ni Roysambu!!!😂😂😂😂😂😂😂😂
tapatalk_1534954441136.jpeg
 
Munasonga mbele wapi mulikua munanafas ya zaidi ya miaka 40 ya maendeleo na hamujatumia chochote wakat tanzania ilipoteza zaidi ya miaka 25 kuzipa nchi za africa uhuru ikiwemo south africa 1994 nafas muliipata hamukutumia leo hii munashtuka kumekucha munatafuta shuka wapi na wapi budaa
Kwani tuliwaambia muwasaidie, alafu mbona S.A iko more developed than you. Excuses za kijinga hatutaki hapa.
 
Back
Top Bottom