mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,513
Kwani mko na Mall Tz?
Hatuna mall tz,hata wajinga hatuna tz.
Kwani mko na Mall Tz?
Asante kwa render





Acha kupima joto kobe,hiyo ni kobe utakesha.




kabisa hakika hii ni kobe mwitu yakichokoraa


,kichapo on flick.

dah hiyo kali umeuwa blood
Acha aite anavyojiskia,uliishawahi shuhudia mtu kavimba mdomo??
Unaeza mwambie sema sahani,akasema samaki,kichapo on flick.
Kwani we ni wa Congo?![]()
makurubasiEti askari ana tattoo!!,.kama hamuwezi kujisimamia wenyewe jamaa wa makobanzi watawasumbua sana!
Kweli kobe hapimwi joto,wewe ni kobe.
Umeambiwa hakuna daladala posta,unaleta picha za kimarakobe.
WE MAKALIO KWELI MAPICHA YA ZAMANI HAYO
Sasa ninyi mliojipendekeza kwa wazungu mkashindwa kuwasaidia waafrika wengine mlifanya jambo gani la maana hadi Leo mnaomba msaada wa chakula, mbona mnabembeleza Southern African countries waondoe visa?Kwani tuliwaambia muwasaidie, alafu mbona S.A iko more developed than you. Excuses za kijinga hatutaki hapa.
NYUMA YA MAFUTA HOUSE KUNA STRUCTURE YA MAANA MBONA HAPO SIIONI???
Janerose mzalendo lete wachumba from Kenya, Bongo kumenogaView attachment 936532View attachment 936532View attachment 936533View attachment 936534View attachment 936532View attachment 936542View attachment 936539View attachment 936534
ANOTHER BIGGEST EAST AND CENTRAL AFRICA MALL AT UBUNGO COMMING SOON
CONSTRUCTION STARTS THIS DECEMBER/JANUARY AT UBUNGO BUS TERMINAL
SHEEEEEEEEEENZI TYPE