can you compare with this?
Hv Jane unahisi kuwahi kusoma kitu ndio kunafanya uwe mwerevu ?iyo elimu yenu ya msingi inakufanya uajiriwe wap apo Kenya?Cheesos! Nandi resistance is taught in secondary schools in tz? Vitu tulisoma class 4
Kuwa mwalimuHv Jane unahisi kuwahi kusoma kitu ndio kunafanya uwe mwerevu ?iyo elimu yenu ya msingi inakufanya uajiriwe wap apo Kenya?
can you compare with this?
Nahapo jua wata ongeza mkataba ukiwa unakalibia kuisha😂😂😂wakenya mnachekesha kweli. You are right huwezi kucomapare project yetu na yenu na si kwa ubora wa project yetu tu bali hata participation ya locals katika kazi hii. We value our own. Now look at this messView attachment 937655
TALKING ABOUT DIFFERENT TANZANIANS.....WA HAPA WA KUITA WENZAO KAHABA NA MONKEY NDIO HUWAONI...SMH.Watanzania tumefundiswha ustaarabu tangu zamani, Kenya hampendi majirani wenu wafanikiwe kuwazidi, hata mkiaangalia humu Watanzania ni nadra kutumia neno chuki, ila kwenu ni kitu ipo moyoni mwenu ma ndio defensive mechanism yenu eti Watanzania tunawachukia.
Angalia hata baadhi ya wabunge wenu walivokuwa wanadandia suala la Bobby wine (Ile haina tofauti na kuingilia internal affairs za Uganda).
Mwisho, That so called Middle Income kwa standard zenu tushavuka, now tunahakikisha nchi yetu hakuna mtu anakufa kwa kunywa maji machafu, Sisi kila kata ina Shule hata huko umasini, kila Kata inaboreshewa Zahanati,sasa tunahakiksiha Kila Kaya ina uhakika wa maji safi na salama
Maisha kwa jirani👇👇👇👇😂😂😂😂
hiii kama sio render😂😂😂👏👏 ni mombasa sehemu gani????👇👇👇Mombasa is a twin to Santorini in Greece
View attachment 937526View attachment 937527View attachment 937528
Baada ya mseven kuwanyima bomba la mafuta pamoja SGR sasa wakawa na hasira dhidi yake😂😂😂😂Watanzania tumefundiswha ustaarabu tangu zamani, Kenya hampendi majirani wenu wafanikiwe kuwazidi, hata mkiaangalia humu Watanzania ni nadra kutumia neno chuki, ila kwenu ni kitu ipo moyoni mwenu ma ndio defensive mechanism yenu eti Watanzania tunawachukia.
Angalia hata baadhi ya wabunge wenu walivokuwa wanadandia suala la Bobby wine (Ile haina tofauti na kuingilia internal affairs za Uganda).
Mwisho, That so called Middle Income kwa standard zenu tushavuka, now tunahakikisha nchi yetu hakuna mtu anakufa kwa kunywa maji machafu, Sisi kila kata ina Shule hata huko umasini, kila Kata inaboreshewa Zahanati,sasa tunahakiksiha Kila Kaya ina uhakika wa maji safi na salama
can you compare with this?
Kilaza ichoboy. Juzi uliaibika hadi ukatoweka![]()

??Kwani nyinyi mmeleta ngapi?Mbona mnarudia picha hiyo hiyo,nilitegemea utaleta picha tofauti
Ichoboy keeps repeating kariakoo and sijui posta dailyKwani nyinyi mmeleta ngapi?
Ichoboy keeps repeating kariakoo and sijui posta daily


kwa kiwewe.I don't even remember a kenyan repeating cbd photos like you Tanzanians......only that your one sided brain sees the oppositeThen mmemaliza nairobi yotekwa kiwewe.