Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tereng Tereng. Concrete casting for berth 1 of Lamu port was completed on November 6th 2018. Hapa kazi tu.
tLEBJTr.jpeg
 
Hao ndio middle income wa Kenya.

Janerose mzalendo mnasemaga mshaga maliza umaskini, wakati hata maji ni shida

Wenzenu Tanzania maji ya Bomba hadi vijiji vya ndani
Lol.......we have visited Tanzania msee......maybe mzungu akiwaambia nyi ni maskini wa kutupwa mtawaskia Ile mkenya akiwaambia mtamtukana......half empty half full perspective. Tanzania hata HDI na No if middle class tumewashinda......what is it that you hate kenya for being a better country than you guys. You can challenge me using facts from international sources not machinations and innuendo
 
Mbona hukuangalia citizen? Ujue wanahabari wengine wameishi Nairobi kama wamezingirwa na watu ambao wanazungumza sheng' hivyo wanaweza kuwa waliambukizwa usheng'. Jaribu kuangalia chaneli zingine. Pia ningekushauri ujaribu kuangalia vitabu vya kiswahili vya Kenya. Havina tofauti na vyenu. Ni kiswahili mufti.
Citizen tv picha zake mbovu hazina ubora, sijui ni channel gani ina kipindi cha my property ndio hua naangalia, mambo ya real estate..
 
The problem with you and most Tanzanians is Lack of exposure. You know pretty much of your nation's history and remaim ignorant on others. Did you know that the Nandi of Kenya were the Longest resistance movement in the region? The British had to send military war troops to capture their land just when they were about to give up. If all Kenyans were Nandis then definitely Kenya could have never been colonized. Kenya's diversity was the main reason why it was Colonized.
I've cited my sources to be books written by a guy who traveled these parts, just read the books and see if I lied. And as for Ethiopia read " Italian East Africa " online. If you need these books I'll send you via email. Weak africans eh? They were lucky Milambo was dead by the time they arrived, Mkwawa fought with advanced Germans military for more than three years until he took his own life, and he was just a middle aged man with a disorganized army. Tanganyika is not your average Kenya. Even a weak old Isike fought Germans in 1890s. Need books? Pm me your email
 
These people live in denial and you can't change them.Their media is controlled by the gvt so a lot is concealed. People live in abject poverty in the villages.
Hv Kenya simna janga la njaa. ..uhaba wa maji safi,umeme bado haujafika kote,barabara bado kuna sehemu hawazijui...inakuaje sasa unasema Tz wakati kwenu kunafoka Moshi
 
Hv Kenya simna janga la njaa. ..uhaba wa maji safi,umeme bado haujafika kote,barabara bado kuna sehemu hawazijui...inakuaje sasa unasema Tz wakati kwenu kunafoka Moshi
We are still developing and we don't live in denial like you. Our media exposes everything unlike yours. Mkiambiwa kwenu MNA mafukara mnapinga.Continue exaggerating achievements but you know for a fact that you have a long way to go.
 
The problem with you and most Tanzanians is Lack of exposure. You know pretty much of your nation's history and remaim ignorant on others. Did you know that the Nandi of Kenya were the Longest resistance movement in the region? The British had to send military war troops to capture their land just when they were about to give up. If all Kenyans were Nandis then definitely Kenya could have never been colonized. Kenya's diversity was the main reason why it was Colonized.
Nandi resistance is taught in secondary schools huku Tanzania. The Nandi resistance is similar to other tribal resistances like the wagogo resistance.
 
We are still developing and we don't live in denial like you. Our media exposes everything unlike yours. Mkiambiwa kwenu MNA mafukara mnapinga.Continue exaggerating achievements but you know for a fact that you have a long way to go.
Mafukara wapo Kwani Ilo nalo linahitaji malumbano?if they don't want to work what do you expect..GoT cannot feed lazy pipo they have to work,huduma kama maji umeme, barabara na elimu Ndio kazi ya serikal...umaskin mwingine wakujitakia tu
 
Lol.......we have visited Tanzania msee......maybe mzungu akiwaambia nyi ni maskini wa kutupwa mtawaskia Ile mkenya akiwaambia mtamtukana......half empty half full perspective. Tanzania hata HDI na No if middle class tumewashinda......what is it that you hate kenya for being a better country than you guys. You can challenge me using facts from international sources not machinations and innuendo

Watanzania tumefundiswha ustaarabu tangu zamani, Kenya hampendi majirani wenu wafanikiwe kuwazidi, hata mkiaangalia humu Watanzania ni nadra kutumia neno chuki, ila kwenu ni kitu ipo moyoni mwenu ma ndio defensive mechanism yenu eti Watanzania tunawachukia.

Angalia hata baadhi ya wabunge wenu walivokuwa wanadandia suala la Bobby wine (Ile haina tofauti na kuingilia internal affairs za Uganda).

Mwisho, That so called Middle Income kwa standard zenu tushavuka, now tunahakikisha nchi yetu hakuna mtu anakufa kwa kunywa maji machafu, Sisi kila kata ina Shule hata huko umasini, kila Kata inaboreshewa Zahanati,sasa tunahakiksiha Kila Kaya ina uhakika wa maji safi na salama
 
Back
Top Bottom