Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Nimeona mengi mazuri Dar kuna majumba ningetamani yawe Nairobi. Pale Bagamoyo pahali pa historia nzuri. Ancient buildings nkNairobi ni chafu acha uongo ,slums ni chafu downtown kuchafu,ni rahisi ku maintain CBD na sehemu kadhaa planned tu,tena ukisema Dar ni chafu napata waswas maybe tour yako imestick zaidi na kasoro
Hujaona chochote kizur kwa sababu hakiko katika matarajio yako



