Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1.jpg
Work-set-to-kick-off-on-new-Selander-Bridge-in-Dar-es-Salaam-Tanzania.jpg
 
Bado ulikua ujenzi unaendelea waliruhusiwa kutumia ilie wafanye majaribio😂😂👇👇
View attachment 934901
Ichoboy huwezi kubali. We mwenyewe unaishi Dar au wapi!? Sababu ungekubaliana nami kwa mambo hapa.

Mimi nikikwambia, Nairobi ilikuwa chafu lakini sahi ilingarishwa. Huwezi pata uchafu taun. Slums Tu zimebaki. Lakini dawa yake inakuja. Affordable housing phase 1 umeanza. Sisemi Nairobi kizuri hata sisi hufokea Sonko. Lakini kwa kweli Dar kufika Nairobi itachukua miaka. Si ushabiki hapa.
 
Hapo mwanzo walianza na street view baada ya hapo wakahama wakaja na aerial view na sasa hivi karudi street view kwakuiita underground....

Kweli game tamu
Ngoma imewakalia kooni sasa hvi wanahangaika kupost hata kma ni picha constructiom ikiendelea
 
Alikuambia kuwa hapo ni katikati ya jiji ni nani....na isitoshe hiyo road ilitanuliwa umeweka picha ya zamani sana.....pitia video hiyo maana unaropoka vitu usivyovijua

Punguza hasira. Ingia Google Street view uone Nairobi utulie.
 
Hii ndio Nairobi downtown? Haha Wanjala maneno yoote uliosema juu ya Dar yamejifutia hapa, I thought I told ya that u're city is dirty an unkempt
Hahaha nilimuuliza hapo ni wapi akakosa jibu. Hamna popote Nairobi pana kaa hivi. Ama aseme ni wapi.
 
Hahaha nilimuuliza hapo ni wapi akakosa jibu. Hamna popote Nairobi pana kaa hivi. Ama aseme ni wapi.
Iyo ni Nairobi kubali mnazingua tu,mko na sehemu kibao chafu tena chafu sana lakin iko busy kuchambua Dar hapa
 
Ichoboy huwezi kubali. We mwenyewe unaishi Dar au wapi!? Sababu ungekubaliana nami kwa mambo hapa.

Mimi nikikwambia, Nairobi ilikuwa chafu lakini sahi ilingarishwa. Huwezi pata uchafu taun. Slums Tu zimebaki. Lakini dawa yake inakuja. Affordable housing phase 1 umeanza. Sisemi Nairobi kizuri hata sisi hufokea Sonko. Lakini kwa kweli Dar kufika Nairobi itachukua miaka. Si ushabiki hapa.
Nairobi ni chafu acha uongo ,slums ni chafu downtown kuchafu,ni rahisi ku maintain CBD na sehemu kadhaa planned tu,tena ukisema Dar ni chafu napata waswas maybe tour yako imestick zaidi na kasoro
Hujaona chochote kizur kwa sababu hakiko katika matarajio yako
 
Back
Top Bottom