Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธView attachment 934702
Hapa ni wapi kijana!? Mkizidi ntawaletea picha za Dar is Slum halisi. Katikati ya jiji.
Screenshot_20181114-225537.png
 
hebu leta tuzione maana hii picha bado TPA ilikuwa under construction probably in 2013 or 2014. A lot can happen in a period of four to five years sasa hizi hapa za slum CBD yenu unadhani tutawabakizaView attachment 934723
Bana acha za ovyo!! Mimi sikupi za slum au wapi. Katikati ya Dar is Slum CBD na kadhalika.
IMG_20181115_085006.jpg

Hapa ni nyuma kidogo ya Ubongo interchange
 
Kwakuwa mimi ni Mwana Afrika asili kutoka Tanzania ninayependa maendeleo ya nchi za wana afrika wenzangu nachukua fursa hii kuwapa pole shirika la ndege la kenya kwa yote yanayojiri nayaliyojiri...[emoji39][emoji39]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2018-11-15-09-20-59_1.jpeg
 
Ukiwauliza zile ice kuonekana mara ya mwisho ni lini ,,hapo unaweza pata jibu au kukosa kabisa...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuwa na baridi nayo ni sifa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kenyans mko na vituko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji39][emoji16][emoji16][emoji16] ujinga na ushamba wako utakupotosha milele......[emoji38][emoji38][emoji38]

Endelea kujifurahisha nakufurahisha genge wacha tuendelee kukuenjoy masakuu
Jana Dar ilitambua Mombasa ni nani. Siku darislum ita afford kuita Chris Brown wanitag
 
Dar imechakaza mombasa+nairobi

Unajua hawa kipindi hii group imeanzishwa walikuja kwa dharau wakidhani bado ni ile tanzania ya 90s sasa leo wanatahamaki kilichobakia kwao ni hasira na kurusha ngumi za hewani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwakuwa mimi ni Mwana Afrika asili kutoka Tanzania ninayependa maendeleo ya nchi za wana afrika wenzangu nachukua fursa hii kuwapa pole shirika la ndege la kenya kwa yote yanayojiri nayaliyojiri...[emoji39][emoji39]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 934759
Hawa wa Azam haya walipata kwa JF ama!? Fake news. Imepunguza safari sio kusitisha.
 
Back
Top Bottom