Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwao ni sifa kwasababu ni moja ya attraction of tourism[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] japokua walikasirika kuambiwa kua wanataka kuifanya kibera kua national park

Meanwhile in tz..eti wabongo hawawahusudu wazungu...cheki mitaa ya middle class in tz...yani wamepanga foleni kuwaona wazungu wakipita kw unplanned suburbs zao[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
38973868885_86033ebb8b_z.jpg
 
Kumbe leo umeelewa maana ya mawazo ya mtu binafsi...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] sasa ya nn kuleta screen shots za Twitter km evidence hapa jf..au leo msapere kakubana ukashindwa pa kutokea...

Yani umejishoot mwnywe leo[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
Munaiombea tanzania isifanikiwe wakat ndio kwanza inasonga mbele😂😂😂😂
Roho mbaya zenu hazitasaidia tanzania isiendelee na huu ni mwanzo jamaa anamiaka mitatu imagine bado miaka7😂😂😂😂😂🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
 
November india na feb china[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Hhhhh!!!nko seat ya mbele...mara india.sai imekuwa china...next week mara kidogo kidogo USA
 
Uhuru si ndio alieuza nchi kwa madeni we huoni leo KPA inauzwa na Bank of kenya inauzwa pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf robo ya kenya ni yake uhuru robo nyingine ni ya white settlers
Utaumia sana na kenya...
 
Meanwhile in tz..eti wabongo hawawahusudu wazungu...cheki mitaa ya middle class in tz...yani wamepanga foleni kuwaona wazungu wakipita kw unplanned suburbs zao[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] View attachment 927615
Mbona unatoka out of topic rudi hapa chini kwanza 😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇

 
Back
Top Bottom