ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
πππππππππNi sifa japo si sifa nzuri
Uhuru alitaka kuifanya kibera kua national parkπ©π©π©π©π©
πππππππππNi sifa japo si sifa nzuri
Uhuru si ndio alieuza nchi kwa madeni we huoni leo KPA inauzwa na Bank of kenya inauzwa piaπππππ alaf robo ya kenya ni yake uhuru robo nyingine ni ya white settlersChooboy huwa unaropokwa sana .mbona wasingizia Uhuru?
Kwa hiyo jamaa yako anaona kuwa na slum ni jambo zuri kwa sababu India na marekani nao wanazo!!Ni sifa japo si sifa nzuri
Marekani wana slum gani ama wamaanisha ile ya Mexico?Kwa hiyo jamaa yako anaona kuwa na slum ni jambo zuri kwa sababu India na marekani nao wanazo!!
Huu uwanja ni level za KasaraniHili ndilo jiji la miamba
View attachment 927390
TWHuu uwanja ni level za Kasarani
Ulikua hujui kumbeππππππHebu niletee ushahidi kwamba robo ya Kenya ni ya Uhuru na robo ya whites. Na hili jambo la kuleta evidence mmeshindwa.
Kwao ni sifa kwasababu ni moja ya attraction of tourismππππππ japokua walikasirika kuambiwa kua wanataka kuifanya kibera kua national park
Na wakikuletea uwanja kama huu nje ya nairobi nitag broππππHuu uwanja ni level za Kasarani
ππumetoka kulewa nini?
So ya uhuru umekubali ryt kabla sijakuletea ya mzungu kwanza kubali moja nikulegee nyingineπππππChoo boy how about mzungu owning quarter of the land. Bring facts
Ahahahahah usikubali nn sasaππππππππππππUsinilazimishe kukubali vitu visivyoeleweka. Niletee ya mzungu tutamatishe huu ujinga wako
Ile safari bado ipo?Usinilazimishe kukubali vitu visivyoeleweka. Niletee ya mzungu tutamatishe huu ujinga wako