Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Achana na hawa jamaa hawawezekani🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

6BC1F516-8CC2-4F3B-AF95-C3618FB9380A.jpeg
 
Hyo ndo park hko kwenu..au n nn...manake hamna lolote la maana hapo!!!!hta primary school hukosi vitu hvo[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Haya tuoneshe na siku mukifika level ya kupata pedestrian path along ocean or lake tag me bro😂😂😂😂😂
 
Tumewashinda kwa kutokuwa na slum kubwa duniani..
Hivi nikuulize wewe kwenu kuwa na slum kubwa kubwa nyingi ni sifa??
Hv nikuulize..kutokuwa na slum kubwa duniani..ndio vigezo vya nchi kuongoza kw ubora duniani...sitaki mihemko hapa wala povu[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Wazungu wakibanwa wanakuja na hoja hio baada ha kuzuia makinikia sasa amani hawan by the way ni mawazo ya watu kama wewe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe leo umeelewa maana ya mawazo ya mtu binafsi...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] sasa ya nn kuleta screen shots za Twitter km evidence hapa jf..au leo msapere kakubana ukashindwa pa kutokea...

Yani umejishoot mwnywe leo[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Uhuru alitaka kuifanya kibera kua national park[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Hhhhh!!!ALITAKA...hyo ndio evidence yako...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hv nikuulize..kutokuwa na slum kubwa duniani..ndio vigezo vya nchi kuongoza kw ubora duniani...sitaki mihemko hapa wala povu[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
Slum zenu haziitwi tu slum bali zinaitwa worse slums elewa point hzo mbili😂😂😂👇👇
CB2FB5E0-C7E6-48DC-8792-5A807FAC760D.png
 
Back
Top Bottom