thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Nilewa mchana wote huu!! Hapa kazi tuumetoka kulewa nini?
Nilewa mchana wote huu!! Hapa kazi tuumetoka kulewa nini?
ebu uliza maswali yenye mantiki..Hv nikuulize..kutokuwa na slum kubwa duniani..ndio vigezo vya nchi kuongoza kw ubora duniani...sitaki mihemko hapa wala povu![]()
![]()
![]()
![]()
marekani kuna slums lakini si kama hizo za kwenu..Marekani wana slum gani ama wamaanisha ile ya Mexico?
Hhh!!kwn arusha kuna cbdCBD ya wapi unataka arusha au ya wapi????????? Maana leo umeshindwa kupata usingizi
Hhhh!!!level gani hyo na ni kujisifia ujinga...km primo ziko..sasa si ni ujinga tuHaya tuoneshe na siku mukifika level ya kupata pedestrian path along ocean or lake tag me bro![]()
Hhhhh!!,hujajibu swali bado...kutokuwa na slum ndio vigezo vya nchi kuwa bora duniani.
leo hutoki..Bado uko na ile ile evidence ya ALITAKAAhahahhah wazee wakakasirika kuskia ni moja ya national park za kenya![]()
Tunaiombea...thats vice versa..wacha kuwa mnafik....endeleeni kutetea mashoga tu...mtakuwa developed soon km USAMunaiombea tanzania isifanikiwe wakat ndio kwanza inasonga mbele
Roho mbaya zenu hazitasaidia tanzania isiendelee na huu ni mwanzo jamaa anamiaka mitatu imagine bado miaka7![]()
Jibu swali langu...Mbona unatoka out of topic rudi hapa chini kwanza
Jibu swali unataka kuona CBD gani alaf utapatiwa acha kua kilizi😂😂😂Hhh!!kwn arusha kuna cbd
Nikujibu nm we huoni wazungu wakicheza ngoma na hapo sijaona slum bado lakini watu wa kibera wamekasirika kuskia kibera pia ni national park😂😂😂😂😂👏👏👏Jibu swali langu...
Ahahahah nataka kujua bei ya KPA ninae mteja tayari![]()
...ukiitaka utapewa tu..bora hela zako...ila serikali wanadunga share zao utabaki kushangaa vp tena...Ahahaha hamutakua nayo mpaka yesu ashuke😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏Hhhh!!!level gani hyo na ni kujisifia ujinga...km primo ziko..sasa si ni ujinga tu
Leta ya week hii..nangoja..au bado hujapata tweets za wakenyaIndia novermber and china feb tatizo liko wapi kwakovp newyork flight sahii inabeba nzi kwenye ndege tu
45 passengers from new york to nairobi ahahahahah kweli mumeshangaza ulimwengu
Munaomba nn nyie roho mbaya inaanzia nyie kwa nyie sumu ya ukabila ikiwamaliza kila leoTunaiombea...thats vice versa..wacha kuwa mnafik....endeleeni kutetea mashoga tu...mtakuwa developed soon km USA
Utaomba sana ..Alaf kweli njaa itawaacha salama??? Pesa za kununua chakula cha nchi pia zinaliwa
Evidence tu mbona kapata😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇👇Bado uko na ile ile evidence ya ALITAKA
Ahahahahahah 😂😂😂🎶🎶🎶🎶🎶Utaomba sana ..
Haya..utaweweseka sanaUlitaka atamke hadharani kua anamiliki robo nzima ya kenya![]()