ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mwenzako alibishia alipoekewa video akasema sio tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikampa dawa
Snow crest hotel arusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 927406View attachment 927407View attachment 927408View attachment 927409View attachment 927410
You started it. Stop playing the victims.Akili zako zinakusaidia kujua wakati wa kula na kwenda chooni basi.
Nonsense
Huko kwenu kuna sehemu inaitwa "kakuma"...Eti kipoison? 😂let's talk about weird names.
Rais wa tz
Naelewa maana ya **** pekeeHuko kwenu kuna sehemu inaitwa "kakuma"...
Unaelewa maana ya neno "kakuma"??
Tumewashinda kwa kutokuwa na slum kubwa duniani..Hta india pia wana slum kubwa hapa duniani..ila nikuulize tz inashinda indi kw lipi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazungu wakibanwa wanakuja na hoja hio baada ha kuzuia makinikia sasa amani hawan by the way ni mawazo ya watu kama wewe tu😂😂😂😂😂😂sio mimi nimesemaView attachment 927536
Ni sifa japo si sifa nzuriTumewashinda kwa kutokuwa na slum kubwa duniani..
Hivi nikuulize wewe kwenu kuwa na slum kubwa kubwa nyingi ni sifa??
Kwao ni sifa kwasababu ni moja ya attraction of tourism😂😂😂👇👇👇 japokua walikasirika kuambiwa kua wanataka kuifanya kibera kua national parkTumewashinda kwa kutokuwa na slum kubwa duniani..
Hivi nikuulize wewe kwenu kuwa na slum kubwa kubwa nyingi ni sifa??