King excell
Senior Member
- Sep 20, 2018
- 175
- 162
sema ubungo intersection fly over inavutiaHaijamalizika bado?
sema ubungo intersection fly over inavutiaHaijamalizika bado?
na ndio ya kipekee africa mashariki na kati labda ukimweleza hvo ataelewa😂😂😂😂sema ubungo intersection fly over inavutia
Akili za kijinga hzo..duh!!we kwel pumba...sasa unataka watu waanze kuhesabu magorofa...jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]mm nakuhakikishia magorofa yalioko dar kusanya magorofa yote nairobi + kisumu+ mombasa still huipati dar kwa magorofa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JEMBE....😀😀😀😀😀😀
anaweza akastaajabuna ndio ya kipekee africa mashariki na kati labda ukimweleza hvo ataelewa😂😂😂😂
wala usijidanganye yupo mkenya mwenzio aliokiri alikua mbishi kama wewe lakini alinyanyua mkono 😂😂😂😂Akili za kijinga hzo..duh!!we kwel pumba...sasa unataka watu waanze kuhesabu magorofa...jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Niliona waliokuwa wakifanyia biashara hapo wakilalamika kisa walihamishwasema ubungo intersection fly over inavutia
Achana na huyo fala hajielewi. Hata estates hawana.wameshindwa na kisumu na NakuruAkili za kijinga hzo..duh!!we kwel pumba...sasa unataka watu waanze kuhesabu magorofa...jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Kwan nyali ndio hamna hyo na bahari...leta bei za nyumba oyster bei nikupe za nyali...Huwez weka Oysterbay na sehemu yoyote Mombasa, iyo Livingston ina nn? Kumbuka mbali na beach safi na nzuri Oysterbay ndio sehemu yenye nyumba Za kifahar za kila aina lami kila kona hakuna kubanana nyumba zote zinaplot kubwa kubwa karibu kila nyumba ina swimming pool nk
nimecheki plan yake youtube daah sio poa jiji la mzizimaNiliona waliokuwa wakifanyia biashara hapo wakilalamika kisa kuhamishwa
Achana na hyu msee bro...alete bei za nyumba na kiwanja oyster bay nimletee za nyali ashtuke akufeBuda nyali mombasa one acre is expensive compared to anywhere in Dar...FYI mombasa is worth 9 billion usd with only 1 million residents..dar 25 million wih a pop of 6 milly
Bei za kupanga au kununua nyumba?Kwan nyali ndio hamna hyo na bahari...leta bei za nyumba oyster bei nikupe za nyali...
Wacha mombasa...malindi watamu pia viwanja kw bei pia ni noma...ndio uje ulinganishe na nyaliHaihusiani wewe unajua oysterbay,masaki viwanja ni pesa ngap??achilia mbali mikocheni, mbezi beach, Upanga? ?
Hili jiji lipo?nimecheki plan yake youtube daah sio poa jiji la mzizima
😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇 per monthKwan nyali ndio hamna hyo na bahari...leta bei za nyumba oyster bei nikupe za nyali...
Dar es salaam aka mzizima vp mamaa nmekuchanganyaHili jiji lipo?
Huna hoja ndu yangu..vp naivasha iko nakuru au nakuru countytueleze wewe unaejua zaidi[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]