mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Hamna maghorofa tz.nilikuwa naongea kuhusu nyumba za tope vijijini. Acha kujitoa ufahamu. Ukweli ndio huu, hamjui kinachoendelea kwenu kwa sababu mnatafuta mapungufu ya Kenya kuja kuyaanika humu.Hata MTU akijitia kitanzi kuna wale wamebobea katika hiyo kazi ya kuzileta hizo habari humu. Umewahi ona mkenya yeyote akifanya hivyo? Si mnaweza lialia hadi kwa mods apigwe ban?
Leta picha zikianguka hata hizo za tope.
