Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bei ya kawaida sana hyo..mbna hyo per month umeiandika mwnywe
sasa niletee ya 5000usd kwa nyali nasubiri wala usihangaike kutafuta 20000 usd wenzako hata nairobi walikosa 😂😂😂 ndo maana nakwambia ww umedandia treni kwa mbele waulize wenzio
 
wakenya kama tunavojua leo ni sato ni siku ya kula bata mpaka kuku anaona wivu so welcome all tutafutane baadae 😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏
 
sasa niletee ya 5000usd kwa nyali nasubiri wala usihangaike kutafuta 20000 usd wenzako hata nairobi walikosa ndo maana nakwambia ww umedandia treni kwa mbele waulize wenzio
Nakwambia hyo bei ya kawaida...sana..ila natka unisiandike mwnywe hyo per month...ama nipe link niangalie mwnywe hyo per...siez shutka na bei manake ni ya kawaida sana
 
kwan nairobi sio city??? unaposema dar city ukubwa wake ni 1600km sq na unaposema nairobi city ukubwa wake 696km sq na nusu ya 696 km sq ni pori alaf munataka kajiadoo county na machakos iwe nairobi munawaza mambo makubwa madogo yanawakamua mikojo
 
Hata hapa Kenya hutawahi sikia nyumba imeporomoka Turkana ama Marsabit. Utasikia Nairobi, Mombasa n.k. Food for thought.
it's b'se hayo ndio maeneo yenye wakenya wasomi walioenda vyuo vikuu kusomea ujinga katika civil engineering.
 
Nasubiria hyo link ya per month brother
Wewe unauwezo wa kulipa kodi hizi?yani kwa mwezi mmoja tu View attachment 912914
Screenshot_2018-10-27-17-58-45.jpg
 
Upanga ni east na west izo south na north umezileta wewe
I know about upanga East. It has unplanned settlements and also a Buddhist Temple (this explains why a lot of Tanzanians here don't fear God. Some are even oblivious of His existence)
I've never heard of upanga West
 
Back
Top Bottom