Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so kajiado and machakos = nairobi sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hhhhhh!!athi river +ngong=nairobi metro..hapo umekosea kidogo tu..ila nadhani utaelewa pole pole
 
kwaivo umekiri kua airtanzania bado ni mchicha?! haha
unaeza imagine shirika limefufuliwa ndan ya miaka miwili na sasa limeweza kununua ndege saba mpya cash deal😂😂👏👏 wewe huoni ajabu kq ina miaka zaidi ya 35 lakini ndege ni za kulease huoni ajabu hapo💉💉💉 na bado juu ya hapo full loss 5 yrs now munapumulia mirija ya mikojo
 
tatizo lenu nyinyi munapenda mambo makubwa wakat madogo yanawatoa mavi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani unawaza kajiadoo na machakos kua nairobi wakat nusu ya city center ni pori so unataka kutudanganya sisi au unajidanganya mwenyewe
Sasa ukisema dar ni city...pia nsawa na kusema city status ya ki ldc..manake nje ya posta ni unplanned suburbs za ki ldc
tapatalk_1540120709408.jpeg
 
tatizo lenu nyinyi munapenda mambo makubwa wakat madogo yanawatoa mavi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani unawaza kajiadoo na machakos kua nairobi wakat nusu ya city center ni pori so unataka kutudanganya sisi au unajidanganya mwenyewe
Sasa ukisema dar ni city...pia nsawa na kusema city status ya ki ldc..manake nje ya posta ni unplanned suburbs za ki ldcView attachment 912885
 
Sasa ukisema dar ni city...pia nsawa na kusema city status ya ki ldc..manake nje ya posta ni unplanned suburbs za ki ldcView attachment 912885
kwan nairobi sio city??? unaposema dar city ukubwa wake ni 1600km sq na unaposema nairobi city ukubwa wake 696km sq na nusu ya 696 km sq ni pori😂😂😂😂 alaf munataka kajiadoo county na machakos iwe nairobi munawaza mambo makubwa madogo yanawakamua mikojo
 
msumari wa kukodisha umekutokea matakoni 😂😂😂😂😂😂 20,000 usd per month nyumba oyesterbay unafanya mchezo nini wewe nyali hakuna nyumba hata ya 5000 usd ya kukodisha nairobi yenyewe ilipumulia masikio kwa masaki ma oyesterbay😂😂😂
 
Back
Top Bottom