




Kuna tofauti kubwa kati ya Urban boundary na County boundary. Ni akili hauna? Ama kufikiria imekushinda!




kwanza ni 31floors.Ichoboy akipinga hii kweli ako na kasoro kwa akili.
Those who were doubting the number of floors on these babies are welcome to count.View attachment 912475View attachment 912475
Kutoka Bunju hadi Posta ni 40kmNairobi - Kajiado = 62km (1hr)
Nairobi-Machakos=56km,50min)
Nairobi- Kiambu= 17 km(35 min)
Ndio hizo.



hio si ile ya 42 the rest are going to be 30 and above. Wooi. Utaambia nini watu



so unatuonesha lile ambalo lilitakiwa kua na 42 ili utuamisnishe yote ni over 30 hapo lilipo halijafika 32floors so ?????![]()
Nairobi - Kajiado = 62km (1hr)
Nairobi-Machakos=56km,50min)
Nairobi- Kiambu= 17 km(35 min)
Ndio hizo.





.Hii picha imepigwa Mbezi beach ni umbali wa 20km from CBDView attachment 912487
Google sasa unabisha nnDanganya wajinga hiyo ni kitu 5 km ikienda sana..at 20 km manyumba haziwezi onekana
Iyo picha haikupigwa 20km from cbd..usikae falaGoogle sasa unabisha nn
Unajua nn kuhusu Dar sasa ww?Iyo picha haikupigwa 20km from cbd..usikae fala
Unajua nn kuhusu Dar sasa ww?
Coco -beach Oysterbay ,hii Ni moja ya suburb kali zaidi Africa katika zilizomo,
Huku wanaishi wenye pesa ndefuView attachment 912496View attachment 912495
Hujawah drive kutoka Posta hadi bunju nashangaa unaleta porojo kwenye kila kitu,sinahakika hata kama una gari
Kutoka Bunju hadi Posta ni 40km
Huwez weka Oysterbay na sehemu yoyote Mombasa, iyo Livingston ina nn? Kumbuka mbali na beach safi na nzuri Oysterbay ndio sehemu yenye nyumba Za kifahar za kila aina lami kila kona hakuna kubanana nyumba zote zinaplot kubwa kubwa karibu kila nyumba ina swimming pool nkHii sasa ata haifikii nyali mombasa..sitaki kusema lavington
Hujawah drive kutoka Posta hadi bunju nashangaa unaleta porojo kwenye kila kitu,sinahakika hata kama una gariView attachment 912502
Nmedrive mm mara zaidi ya 100 sasa ww una leta siasa kwenye kila kitu I know niweke mafuta kias gani sometimes unachosha na porojoAre you saying Google maps is not accurate. Iam talking of actual distances not driving distances. Nikianza kuweka road distance hapa utatoroka.
Buda nyali mombasa one acre is expensive compared to anywhere in Dar...FYI mombasa is worth 9 billion usd with only 1 million residents..dar 25 million wih a pop of 6 millyHuwez weka Oysterbay na sehemu yoyote Mombasa, iyo Livingston ina nn? Kumbuka mbali na beach safi na nzuri Oysterbay ndio sehemu yenye nyumba Za kifahar za kila aina lami kila kona hakuna kubanana nyumba zote zinaplot kubwa kubwa karibu kila nyumba ina swimming pool nk