Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda nyali mombasa one acre is expensive compared to anywhere in Dar...FYI mombasa is worth 9 billion usd with only 1 million residents..dar 25 million wih a pop of 6 milly
Haihusiani wewe unajua oysterbay,masaki viwanja ni pesa ngap??achilia mbali mikocheni, mbezi beach, Upanga? ?
 
Haihusiani wewe unajua oysterbay,masaki viwanja ni pesa ngap??achilia mbali mikocheni, mbezi beach, Upanga? ?
Mombasa land is more expensive than dar and kampala dar is not even top 20 on property prices..bishana na facts
Screenshot_20181027-105023.jpeg
Screenshot_20181027-105033.jpeg
 
Ukitaka kuamini njoo Dar uliza bei ya plot oysterbay convert kwenye usd
which one is more cheaper and time consuming?? kufungasha virago kuenda porini, ldc kuulizia bei ya kiwanja (you never know, unaweza umwa na tandu) au doing a quick research of about 1min at the comfort of your living room?
 
Ukiongea na zwazwa ni kazi ya ziada
 
Ukiongea na zwazwa ni kazi ya ziada
jenga hoja. wacha kubwabwaja. mwenzako amekuletea list ya most expensive cities in Africa..... amefanya quick research ya less than 1min.
akili zako fupi kama mkia wa mbuzi zinakutuma ufungashe virago uzuru each and every city ili upate uhakika.
going by your thinking, how much will it cost, plus the time spent?
 
Hayatufurahishi bali yanatusikitisha tena sana ......tunapata huzuni sana kuona majirani mkipatwa na maswahibu .....ndiyo maana nikawapa pole kuhusu nyumba za matope zinapatikana turkana nchini kenya
I've come across so many heartless Tanzanians here.Mbona mapungufu ya Kenya huwafurahisha hivi ?Niliwaambia mshukuru Mola kwa sababu kifo hakipo Tanzania.
Unaongea kuhusu maghorofa kwani bongo kunayo? Vipi kuhusu zile nyumba za matope ziliopo katikati mwa kijiji cha dodoma?kama mnajenga nyumba za tope hadi majijini mtawezaje kumiliki maghorofa
 
hapo umenivunja mbavu......huyu dada inabidi aolewe na Mtz mmoja wapo ili aje kuziona hizo nyumba za matope city center kama anavyofikiria
Na tunacheka sio kifo kwa jirani au majanga ni mazuri hapana,ila kwa ujinga uliopo kichwani mwa wakenya kama wewe,ni hatari sana mwanamke kuwa kiazi namna hii.

Ni nyinyi hushinda mkibeza elimu ya bongo haina kitu,lakini eng wenu wanaangusha majengo kila siku.

Hapa unasema tz hakuna maghorofa ila nyumba za tope,sawa huu ni upumbavu umeamua kukaa nao,sina neno hapo.
 
hapo umenivunja mbavu......huyu dada inabidi aolewe na Mtz mmoja wapo ili aje kuziona hizo nyumba za matope city center kama anavyofikiria
Just leave me alone you bongolala Mongoloids. You are just a bunch of malevolent narcissists full of conceit.Sensitive cowards who are always irrational. Calling people monkeys and reporting to the mods .I have never witnessed such form of cowardice in my life. How on earth can you offend someone then play the victim and make someone pay for a 'crime'they didn't commit. Injustices everywhere.
 
kenyan civil/structural engineers and building contractors go to universities to study ignorance and spoken/written english.

haupiti mwaka bila majengo kuporomoka.
Screenshot_2018-10-27-12-06-20-812_com.facebook.katana.jpeg
 
Hayatufurahishi bali yanatusikitisha tena sana ......tunapata huzuni sana kuona majirani mkipatwa na maswahibu .....ndiyo maana nikawapa pole kuhusu nyumba za matope zinapatikana turkana nchini kenya
Unafiki huu. Nawajua nje na ndani. Tafuta mahala pa kuelekeza ulaghai wako. Hatuhitaji kufarijiwa na wanafiki wanaotucheka kila uchao
 
Back
Top Bottom