Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Bado ujanipea findings zako? Ukiulizwa swali hurudishi swali. Unajibu. We umehesabu ukapata ni ngapi!
can you count there akili unayo wewe![]()
can you count there akili unayo wewe![]()
Endeleeni kuziweka mking'oa mtaipiku kenya msijali.







Waiting for him to count? You'll wait forever. Uzembe ndio mtindo kwaoBado ujanipea findings zako? Ukiulizwa swali hurudishi swali. Unajibu. We umehesabu ukapata ni ngapi!
Hahahaha, dah wachina wamewazoea sana, wanawapanda vichwani.mbona kama harufu ya ukoloni imerudi kwa wenzetu
LolCase closed dar inapumulia kwa mashine ikikutana na upper hill....hadi rahaView attachment 901588View attachment 901589
hebu hesabu ww uniambie umepata ngapi😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏Bado ujanipea findings zako? Ukiulizwa swali hurudishi swali. Unajibu. We umehesabu ukapata ni ngapi!
miaka hii miwili mumekula kipigo cha mbwa koko😂😂😂😂👏👏👏👇Endeleeni kuziweka mking'oa mtaipiku kenya msijali.![]()
Ichoboy hii thread yako nitaambia admin aifunge utoke huku angalau ujionee dunia inavyoendelea. Duh! Umekuwa kama kupe kwenye ngozi ya ng'ombe hubanduki wala hupapatiki?miaka hii miwili mumekula kipigo cha mbwa koko😂😂😂😂👏👏👏👇
Heheee!!hv mombasa na kisumu pia ni ya wakikuyu...heheeee!!!..
Anacheza ndombolo ya soloMimi nimeuliza huko kwenu ili uwe na gari ni mpaka uwe tajiri???naona unakatika tu kijana.
Duh!!!munaukataa umaskini jamani..watanzania wengi hawanauwezo wa kununua magari...Anacheza ndombolo ya solo
Public transport yenu ni hovyo. Hivyo gari kwenu ni necessary good. Decent person huwezi kwenda kazini umepanda matatu. Utatafuta usd 5000 ununue hata kavits kama "njugush"Duh!!!munaukataa umaskini jamani..watanzania wengi hawanauwezo wa kununua magari...
Kenya watu wanayanunua kila kuchao..middle income kibao...mbna kusiwe na jam na highways zipo kibao
Dont be ignorant. Government ownership means peoples ownership. This benefits all. Hata China kampuni kubwa nyingi ni za serikali na zinanunua hadi hizo private companies za ulaya.Buda tumia tu Kiswahili...BRITAM,UAP,KCB,PRISM,Mihrab etc are fully kenyan owned ...most of your main towers are government owned..outside the CBD its just slums in Dar...90% of important towers in TZ ARE OWNED BY NHC
Hizi zipo kibao upanga
Duh!!!munaukataa umaskini jamani..watanzania wengi hawanauwezo wa kununua magari...
Kenya watu wanayanunua kila kuchao..middle income kibao...mbna kusiwe na jam na highways zipo kibao


unfortun.umekuja unaringa kwamba foreni ni ishara ya utajiri wa wakenya,hatupendi kuwaaibisha kila mara kwanini mnatulazimisha????embu acha tuendelee hujadiliana hapa sipendi nikifukuze bila kupenda.Dont be ignorant. Government ownership means peoples ownership. This benefits all. Hata China kampuni kubwa nyingi ni za serikali na zinanunua hadi hizo private companies za ulaya.
Hujasoma Geography wewe. Hujaona tofauti ya umbali hapo au estimation huwez
Hujasoma Geography wewe. Hujaona tofauti ya umbali hapo au estimation huwez