Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nigga what??? Kweli tumewashika pabaya, tuanze na sisi kuleta Kakakuona, Mchikichini na Kawe City???
Avic 47,35,33,31,31,30
Prisim 34flrs
Uap 33flrs
Britam 31flrs
Times towers 33
Teleposta 30*2
U/c site preparation
Akili tower 30flrs
Cbk pension 30flrs
Enderman ngara 34*8(yaani hii crane ya Kwanza ikienda juu mtahama jamii forum)
88 Nairobi towers 44flrs....
 
Hatuna foleni sana. dada.. Foleni za nairobi pamoja na ma highway yote ni mbaya sana sijapata kuona
Lazima hyo...watu wana nunua magari kila kuchao...ndio ujue kenya si km bongo..tz maskini ndio wamejaa tu
 
Lazima hyo...watu wana nunua magari kila kuchao...ndio ujue kenya si km bongo..tz maskini ndio wamejaa tu

Toka jana nimekuuliza kwenu huko ni matajiri wakikuyu pekee ndio wanamiliki magari,hukushtuka ulivyo zuzu umekuja tena na sera yako hii leo.

Wewe una gari???
 
Daaah wakenya ni wazuri sana kwenye kupika data, ona sasa official website ina above 30 mbili tu wao wanakuja na tano
Wacha porojo hesabu idi apartment najua mko kwenye denial lakini mtakubali tu...zoom alafu uhesabu
tapatalk_1539856591786.jpeg
 
Nigga what??? Kweli tumewashika pabaya, tuanze na sisi kuleta Kakakuona, Mchikichini na Kawe City???
Kawe city is dead,your NHC is bankrupt ...ivi seven eleven updates ziko wapi ilikwama 2016 ikiwa na 6flrs ime resume?Boom ya dar imeisha na ppf hakuna jengo lingine mtajenga above 30flr for the next 30yrs....Mimi nimepost project ambazo ziko kwa site preparation sio kama iyo kakuona ya ccm yenye hitawai jengwa...
 
Yani Nairobi kila mwezi high-rised buildings zinaanzishwa na 80% ni over 30floors then they want to compete
 
Back
Top Bottom