Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wengi sana wapo pale South Africa wamechoka na wanamaisha magumu balaa tena afadhali hata hao wanigeria wanakuja wakiwa na taaluma zao kama huyo uliyesema ni software developer, Wabongo wengi wengi waliopo SouthAfrica wamechoka na hawana taaluma yeyote vipi Serikali ya SouthAfrica nayo ipige ban visa on arrival kwa wabongo?

Suluhu sio kupiga marufuku Visa on arrival hapana suluhu ni kuweka mfumo imara wa kiulinzi utakaodeal na nyendo za wageni wasioeleweka na wasio na msaada.
umeenda mbali... hapa hapa Kenya, Watanzania wamejazana kila miji na wamefulia mbaya sana.
kama Tanzania ni nchi ya 'maziwa na asali' kwa nini mbona kuhangaika kwote huku kwenda kukera nchi za watu???
 
Downtown trails

IMG_5220.JPG
 
umeenda mbali... hapa hapa Kenya, Watanzania wamejazana kila miji na wamefulia mbaya sana.
kama Tanzania ni nchi ya 'maziwa na asali' kwa nini mbona kuhangaika kwote huku kwenda kukera nchi za watu???

Tupe picha zao na majina tujue tunawasiadiaje kurudi nyumbani.
 
Ichoboy hii thread yako nitaambia admin aifunge utoke huku angalau ujionee dunia inavyoendelea. Duh! Umekuwa kama kupe kwenye ngozi ya ng'ombe hubanduki wala hupapatiki?
hahah mbona kule nipo sana bro 😀😀😀😀😀
 
Kawe city is dead,your NHC is bankrupt ...ivi seven eleven updates ziko wapi ilikwama 2016 ikiwa na 6flrs ime resume?Boom ya dar imeisha na ppf hakuna jengo lingine mtajenga above 30flr for the next 30yrs....Mimi nimepost project ambazo ziko kwa site preparation sio kama iyo kakuona ya ccm yenye hitawai jengwa...
Mbona unaguarantee vitu ambavyo haviko ndani ya uwezo wako?
Dar itazidi kujengwa tu hayo maneno yako baki nayo
 
Tanzania inejenga modern electric train in africa phase mbili kwa pamoja ambzao ni 722km total by 2019 phase one itakua imekamilika na 2020 phase itakua imekamilika sijui sura zenu mutazieka wapi beo😀😀😀😀😀😀
 
wapi likoni inapumulia mipira ya mkojo asante mseven kwa kufata nyendo za nyerere bridge😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇wengine waliahidiwa likoni bridge miaka 30 iliopita😆😆😆😆😆✋✋✋

wapi likoni inapumulia mipira ya mkojo asante mseven kwa kufata nyendo za nyerere bridgewengine waliahidiwa likoni bridge miaka 30 iliopita

Everybody ako na priorities zake. Kenyans prioritize roads and that's why road connection in Kenya is ahead of any neighbouring country.
 
Life is too difficult for the blind like you
Let me tell you one thing, you are being cheated by your leaders. Do you think mkidevelop Kenya inatawangoja? That's why every statistics favours Kenya over Tz.
 
Let me tell you one thing, you are being cheated by your leaders. Do you think mkidevelop Kenya inatawangoja? That's why every statistics favours Kenya over Tz.
Hatudevelop kuwapita ke tunadevelop kutoka kwenye umasikin na kuboresha maisha yetu ,it's okey ku bragg na vitu vidogo kwasababu tulikua matopeni kwa kipindi kirefu ...
 
Everybody ako na priorities zake. Kenyans prioritize roads and that's why road connection in Kenya is ahead of any neighbouring country.
hehhe leo mko na priorities ila kujenga likoni bridge mlioahidi miaka 30 iliopita haina maana 😂😂😂😂😂😂 ahead of slums and unemplyment rate plus poverty😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏
 
Hatudevelop kuwapita ke tunadevelop kutoka kwenye umasikin na kuboresha maisha yetu ,it's okey ku bragg na vitu vidogo kwasababu tulikua matopeni kwa kipindi kirefu ...
na still tuna just 10 yrs of developments lakini ona wanavohangaika usiku na mchana😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom