Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unanidanganya mm au unajidanganya wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna gorofa gani lenye 30 hapo
Zoom alafu uhesabu alafu we ndio utaamua hio no picha Mzee ya july
tapatalk_1539856591786.jpeg
 
hii golden tower ilianza ujenzi more than 28 floors twin towers ushaona tumeweka humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikua umesema akili towers ni renders nikakuonyesha site excavation inaendelea sasa umeanza kuhamisha magoli....
 
So the Government building towers is a bad thing? How?

How many towers belong to NHC in Dar Es Salaam at the Moment? FYI none.

You don’t know anything. NHC hawana Tower ya maana town Kwa sasa.
Wasikuchoshe.. huu mfumo wetu ndiyo best, majengo ya maana town yanamilikiwa na wananchi (mifuko). Kama wao wana akili wawaambie hao investors kama avic wakalime ili wamalize njaa.
 
Ulikua umesema akili towers ni renders nikakuonyesha site excavation inaendelea sasa umeanza kuhamisha magoli....
ndio nakuonesha mfano uelewe akili tower go on showing renders za akili towerπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Bado tunawazubaisha na Avic, upperhill chambers and cbk are still in stock.
[emoji23][emoji23][emoji23] Wanazubailia Avic pinnacle inasimama wanashtuka wanakufa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wasikuchoshe.. huu mfumo wetu ndiyo best, majengo ya maana town yanamilikiwa na wananchi (mifuko). Kama wao wana akili wawaambie hao investors kama avic wakalime ili wamalize njaa.
Kwani wachina ndio watanunua hio mijengo?No wakenya kwaivo wakenya ndio wamiliki .....
 
so westalnd upperhill and CBD iko kwa picha moja sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

ngoma zimekula filter na make up mpka zimechuja[emoji1][emoji1][emoji1]
Vile nasomanga Comments za Ichoboy[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Screenshot_20181018-132115.jpeg
 
Hatuna foleni sana. dada.. Foleni za nairobi pamoja na ma highway yote ni mbaya sana sijapata kuona
Solution ya traffic jam ni mass transport na ringroads. Nai hamna hivyo vitu. Halafu Dar imegawanyika sana, ki ofisi, masoko mpaka makazi. Mfano kuna watu wana kaa Bunju, Kibaha wengine Gomz, kuna watu wanapiga mzigo Kko, Posta, Knyama, Ubungo, Mwenge au Tegeta. Hii imesaidia sana, pia serikali kuhamia Dom, flyovers kujengwa na ma BRT, fast train ambayo itafanya mtu afike Mwanza ndani ya Masaa chini ya 10, Moro chini ya masaa mawili kutazidi kuifanya Dar kuwa jiji ambalo ni traffic free zaidi E.A kama siyo Africa. Mfano kama mlandizi to Posta inaeza ikawa chini ya dka 20 wachache sana watakubali kujiminya Mwananyamala.
 
avic 42, 35, 29, 23, 25 28
ehehehehehh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
prism 32fl na ukitaka evidence sema
leo times imekua 33 and not 38[emoji23][emoji23]
wapi telepost * 2[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] teleposta is 27
wapi akili tower nioneshe render plz[emoji1][emoji1]
wapi ngara renders[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
wapi CBK pesnsion 27 fl renders plz[emoji112][emoji112]

leo umepokea kipigo kitakatifu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
CBK iko hapa
tapatalk_1539812443881.jpeg
tapatalk_1539812436411.jpeg
 
niletee official source [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
hii ni official sourve ya avic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 902038
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaleta kitu ya kitambo alafu unasema ni official. Sahii kwanza project ni GTC, tuletee updated news shienzi
 
Back
Top Bottom