ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hapana tundulisu sio economist my friend dr ndii ni economist, tundu lissu ni mwanasheriaHuyu ni tundu lissu wa Kenya wakuikosoa serikali lakini tofauti ni ati hatuwezi mpiga risasi ana Uhuru wa kusema opinion zake kama mkenya wowote ule.
hao ni watu wawili kabisa kwenye fani mbili tofauti kabisa👏👏👏👏😂😂😂😂
yeye huzungumza habari za uchumi na aliyasema leo yanatokea