halafu bora hizo slums zingekuwa mbali na mji.karibia zote zipo jirani katikati ya jiji.
mfano ni kibera.yenyewe ipo kiliomita 5 tu kutoka city center ya nairobi.big shame.
ushahidi huu hapa
kwa wale wanaofahamu vizuri jiografia ya jiji la dar,hiyo kilomita 5 ni distance ya kutoka kituo cha bus posta town hadi kinondoni morroco.
vuta picha kinondoni morroco ndio ingekuwa slum.wakenya wangetucheka sana.tungetafuta pa kujificha wallah.
ushahidi juu cha distance ya kinondoni morroco to posta huu hapa.