Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
acha kuongea pombe za gongo izo zinakuongopeaBongolala mtaendelea kulala tu..nyinyi dar pekee mnajivunia sisi tukiwa na +10 mega towns
acha kuongea pombe za gongo izo zinakuongopeaBongolala mtaendelea kulala tu..nyinyi dar pekee mnajivunia sisi tukiwa na +10 mega towns
kaeni na wenzenu mpeane ushauri muamzishe thread nyingine baina ya mikoa ya kenya mikoa ya tanzania uoneMiji mbingi mbovu?? Ata kamjii ka Embu nilete picha hapa utatoroka msee
tumuache tu ajjfurahishe maana tukileta matusi na sis hawa hawafui dafu hata roboHuyu analeta Hadith
Kazuiliwa kutukana ndio maana anabwabwaja
akitukana ni Ku block tu
dah mim wew nakuacha coz ni mrembo na hapo katii dahhh patamu....Nairobi ni jiji KUBWA sana East Africa........
aisee ipo wapHivi kuna mwenye ufahamu kuhusu ujenzi wa hii mall?View attachment 494347View attachment 494348
Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Mkuu huo ndiyo ukweli Dar bado sana kwa Nairobi na wewe kama umewahi kuwa Nairobi unajua sema hapa mnafurahishana tu. Endeleeni lakini kuburudisha jamvi. Mi nasema kwa uzoefu wangu mkubwa wa miji hii miwili
Dar bado changa sana kwa Nairobi. Changa tu sana.
Kulinganisha dar na Nairobi ni sawa na usingizini na kifo. Nairobi ni namba nyingine tujipange.
Kukataa kukubali ukweli ndio upuuzi.
krkrkrkrkrkrThe day Dar will have more multi-nationals companies and organizations than Nairobi then I will accept Dar is greater and mightier than Nairobi. For now this thread is useless like the "EA" IN "TEA".
anaezungumza mwenyewe mkenya hahahahhahaha alafu atatuambia nini hii ndio bongo 2017 yani hatoboi mtu wamekubali wenzako na mapovuuuuu juuuuuni machos tu!
kwanza ondoeni slum zilizo chukua area three quarter ya 696 km sq hhahhahaha alafu muje hapa😀😀😀😀😀😀😀😀 ila pia asanteni kwa kuja hahhahahahhahHahaha
Naona umeshikwa Na temporal insanity. Enda kameze sawa alafu ulale ndo urudi...
Hakuna lolote Dar inashinda Nairobi...uko compare on a point to point basis...
Dar ilishindwa kitambo Sana, ndio maama ili kufuta machozi ya aibu mnatafuta vigezo vya kiajabuajabu ili angalau mpungize uchungu ... Eti mmeshinda kwa daraja refu, boats, beach, island, ..hahaha Aki nyinyi watu mlizaliwa wapi jameni
wewe umebaki pekeako na humu hutoki heheheheh mulijua ni ile dar 90s enhhhhh hii 2017 baba na pabo tunaendelea kujenga nchi miaka 10 tumejenga nchi munatoa mapovu ingekua 20 mungesemaje 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀aahahahahahahahaha
kila kitu kinachohusiana na modern kiko dar hahahahahahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 munazuga hatoki mtu humuaahahahahahahahaha