Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya tuingie kwenye slums sasa huko tushamaliza tayari😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 au vipi???????
 
ukisika titi4tati ndio hii.hahahaha... wakenya bhana.

bora tu muendelee ku-repost picha za magorofa ya kenyatta/moi avenue.

ktk kosa ambalo hampaswi kulifanya ni kuleta picha za dar zinazoonyesha madhira yatokanayo na majanga ya asili,maana payback yake huwa ya kishindo kikubwa.
 
H

Hio matatu ni KAL. KAL ni more than 15 years ago, time ya Moi. We are in KCL saa hii,
hata kwetu plate no A zipo nyingi bado so kwa akili yako usifkiri hazipo pia kwenu gari ni chuma sio mfupa😀😀😀😀 😀😀😀😀😀😀😀 hapa hamutoki na B JE?????😀😀😀😀😀😀
211.jpg
 
Mimi nazungumzia mambo ya miti, wewe unaniambia mambo ya sijui 2020......kwani who told Na irobi ya sasa ni ya 1999 na itabakia hivi 2030? Badanganyika bashenxi!
miti vipi kwani uliambiwa hakuna miti we vipi😀😀😀😀😀😀😀😀😀 zungumza mambo ya msingi
 
wakina depay nimewaona kule wameanzisha thread ya kisumu galley na kule napo wanajifariji eti kisumu ni kali kuliko mwanza kimoyo moyo nikacheka kwa dharau
nikuhakikishie kitu kimoja mdau,
hiyo thread haitofika mbali,lazima itakwama.labda watz tutie miguu na kuanza kuichangamsha.

ili mkenya aanzishe thread inatakayo trend kwa kasi na ipate comments nyingi,lazima ushiriki wa watz uhusike.vinginevyo thread zao zinakwamba kwa kukosa wachangiaji wengi.

nimeona hivi karibuni wanajaribu kufanya diversion kwa kuanzisha thread zingine kwa maudhui ya kutaka kuzishindanisha na thread hii ambayo tunawaburuza,mwisho wa siku thread zao zikikwama,wanarudi tena kuendelea na mnakasha huu.
 
Back
Top Bottom