Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala mtaendelea kulala tu..nyinyi dar pekee mnajivunia sisi tukiwa na +10 mega towns
Zitaje nisikie hehehheehhehe kisumu au mombasa yani kwangu mm kisumu na mombasa hazijafikia kiwango ya kuitwa city bado sana hahahhahhahahahah kweli city taxi baiskeli hahahhahhahh amazing
 
Tatizo ni kwamba wanakataa slums kwao so tunaonesha uhalisia wa nairobi pia sio wanatupigia sehemu iliojengeka 120 km sq wakat iliobaki 576 km sq ni slums na huku wanaishi maisha ambayo sijawah kuyatia machoni toka nimezaliwa mm
Kwani nani hajui kuwa kenya kuna sehem za ovyoovyo kuliko dsm
The insue apa ni kuonesha mji ulivyo mzuri asa kwa ongoing projects

Apa ni kuichana nairobi kimya kimya bila hizo screenshort
Kama umefika nairobi utakubaliana ni kamji kadogo sana na kenye majengo katikati ya mji tu sema kaepangwa vizuri. Ndo maana ukiangalia aerial view yao ni nearler uku aerial view ya DSM ni ya juu sana kiasi kwamba vijengo vinaonekana vidogo mno

Hawa warani wetu tunawapiga kimyakimya
 
Kwani nani hajui kuwa kenya kuna sehem za ovyoovyo kuliko dsm
The insue apa ni kuonesha mji ulivyo mzuri asa kwa ongoing projects

Apa ni kuichana nairobi kimya kimya bila hizo screenshort
Kama umefika nairobi utakubaliana ni kamji kadogo sana na kenye majengo katikati ya mji tu sema kaepangwa vizuri. Ndo maana ukiangalia aerial view yao ni nearler uku aerial view ya DSM ni ya juu sana kiasi kwamba vijengo vinaonekana vidogo mno

Hawa warani wetu tunawapiga kimyakimya
Ndugu elewa hapa tupo kwenye battle. Tunaingelea maslahi mapana ya nchi yetu ikiwemo utalii.
 
ku argue na uyu msee ni ngumu. nime give up naye, only 2towers ndani ya Tanzania, matako yake yanalia mbwata. over 20floors ameshindwa kuproduce na Nairobi zenyewe you will lose count. sasa amelia sana anataka aletewe below 20floors, seriously?????
Over20flr niliisimamia mwenyewe
Na tukawapiga kipigo kitakatifu

Nilisimamia mwenyewe na tuliwapiga kisawasawa
 
Nairobi ni jiji KUBWA sana East Africa........
Red Birgade girl vipi Soma hapa kuhusu red brigade
Red Brigades - Wikipedia

Halafu uje umejipanga vizuri na uelewe maana ya hiyo M4C

The Red Brigades (Italian: Brigate Rosse [briˈɡate ˈrosse], often abbreviated BR) was a left-wing[1] paramilitary organization, based in Italy, responsible for numerous violent incidents, including assassinations, kidnapping and robberies during the so-called "Years of Lead".

Formed in 1970, the organization sought to create a "revolutionary" state through armed struggle, and to remove Italy from the North Atlantic Treaty Organization. The Red Brigades attained notoriety in the 1970s and early 1980s with their violent attempts to destabilise Italy by acts of sabotage, bank robberies, kidnappings [2] and murders.[3]
 
Hivi kuna mwenye ufahamu kuhusu ujenzi wa hii mall?
1491926005842.jpg
1491926014011.jpg
 
hehehehe. ww ndio mkweli kabisa. hii thread nzima, hakuna mKenya yeyote anayepost picha mbaya za Tz. hakuna aliye perfect. but ukweli kabisa Kenya iko mbele sana. Tz nzima ni towers mbili tu. kama hii thread ingefungwa saa hii, kisha utafiti ufanyike, utapata waKenya ndio waliopost content nyingi zaidi na kupata walk-over. bila pingamizi
Msikie huyu nae
Et tower mbili
Kama ni tower mbili basi ni tower mbili ukanda wote maana hakuna 40 au 35 storey building kenya
Kazi kuweka minara2
Nilisimamia shoo ya above 20 na tukawapiga bao. Ukionganisha apo mliingina I&M ambalo ni 18 na kuleta DELTA CORNA A&B ambayo nayo ni 18

Ka Nairobi ni kadogo kubali2
 
Back
Top Bottom