Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujaribu kuandika kwa kijifikirisha Kidogo!!

Tanzania ndio inamiji mingi kuliko Kenya!!
Tanzania bara ina zaidi ya mikoa 22 na makao makuu yamikoa hiyo ni miji

Tuna kuruhusu
nenda kaanzishe Arusha Vs Kisumu
kisha Uone mziki wake
Tao ka eldoret na Nakuru inachapa arusha na unataka linganisha arusha na kisumu...hauna aibu brathe
 
Mimi sinaga wivu ka wewe sasa naeza umizwa na dar? Naeza umizwa na slum???? Aje sasa???
Ona jiji linavyo Pendeza!!
ccd4d17ab57889a4a3c687334f9b1aec.jpg

Dar hii
hakuna slum
nenda katafute jina la Slum yeyote

Jana ulisema Mbagala
nikakuambia Mbagala unaijua!!
Hii ni Kijichi Mbagala

de5c361c62a31f9c6c07431f295e73ce.jpg

Unaweza linganisha na Kibera kweli hii
7926faf613a934f51926a13fe6210323.jpg

Narudia Tafuta Eneo lolote ndani ya Dar linaitwa slum
 
Dar is slum..period
 
Tumeewachia hii ujinga yenu...tunaenda kisumu , Nakuru ,eldi ,meru,kakamega,kitale,nyeri,meru etc....slum yenu pelekeni kwa news ya tanzania
 
Tumeewachia hii ujinga yenu...tunaenda kisumu , Nakuru ,eldi ,meru,kakamega,kitale,nyeri,meru etc....slum yenu pelekeni kwa news ya tanzania
Ulikuja kwa mbwembwe sasa hivi umesinyaa na kuwa mdogo kama sisimizi. Wenzako walisema wanaenda Nairaland lakini wakaishia kurudi maana JF ni mtakuja.
 
No Kenyan to further comment on this crap....unless its Nairobi vs Johannesburg.
Maneno yamkosaji
Hapa ni mtakuja tu
maana hamna pakwenda kupotezea muda
Saivi Unga ni 153ksh
sawa na 3360tsh!!

Jf ndio kimbilio lenu
Wewe wajana wapo zaidi yako
na hatukutegemei hata sikumoja!!

Hebu jiulize umekuja umekuta Thread hii ina page ngapi!!

Kwenu hakuna Forum ina thread yenye Page hata Robo ya hii
 
Miji mbingi mbovu?? Ata kamjii ka Embu nilete picha hapa utatoroka msee

Tao ka eldoret na Nakuru inachapa arusha na unataka linganisha arusha na kisumu...hauna aibu brathe

Dar is slum..period

Tumeewachia hii ujinga yenu...tunaenda kisumu , Nakuru ,eldi ,meru,kakamega,kitale,nyeri,meru etc....slum yenu pelekeni kwa news ya tanzania

No Kenyan to further comment on this crap....unless its Nairobi vs Johannesburg.

00711c3f75a582ada76fc08ab9bd870c.jpg
 
Back
Top Bottom