tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hahaha najaribu kuelewa sijui unamaana gani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] yani kiswahili chenu sijui mnaandikaje ,tabu kuelewahivi ndio munaanzaga mukipewa facts munakam na matusi. kisha mukitusiwa munareport mtu anakula umeme