COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
ICHOO ameanza kujichocha huku..Niko hapa sema falaiLeo umewatia adabu hawa Washamba wa Nairobi, wameleta mafuriko wakajua wako salama kumbe ni Weupeeee. ahsante kwa kaz nzur
ICHOO ameanza kujichocha huku..Niko hapa sema falaiLeo umewatia adabu hawa Washamba wa Nairobi, wameleta mafuriko wakajua wako salama kumbe ni Weupeeee. ahsante kwa kaz nzur
Nyie watu mnaishi kwa matumaini sana Wa Tz wameamka lazma mkaeICHOO ameanza kujichocha huku..Niko hapa sema falai
Si umerudia hizo staff Mara mob man hauna ki2 ingineBagamoyo road leo 11 Apr 2017. Dar es salaam
View attachment 494321 View attachment 494322 View attachment 494323
hawana jipyaa hawa mapimbiJamaa wamekimbia Huku
wameenda Kisumu hahaha
Ajabu wanaitajataja Mwanza,Arusha
sasa Wangeanzisha mji wa 3 tz vs Mji 3 Kenya
Bongolala mtaendelea kulala tu..nyinyi dar pekee mnajivunia sisi tukiwa na +10 mega townsNyie watu mnaishi kwa matumaini sana Wa Tz wameamka lazma mkae
Mko na dar is slum..pekeeJamaa wamekimbia Huku
wameenda Kisumu hahaha
Ajabu wanaitajataja Mwanza,Arusha
sasa Wangeanzisha mji wa 3 tz vs Mji 3 Kenya
Pimbi ni wewehawana jipyaa hawa mapimbi
hii thread haikimbiliki,wanazunguka huko kwingine lakini mwisho wa siku lazima wachungulie hapa na uvimilivu ukiwashinda,wanachangia mada.hahahahahaJamaa wamekimbia Huku
wameenda Kisumu hahaha
Ajabu wanaitajataja Mwanza,Arusha
sasa Wangeanzisha mji wa 3 tz vs Mji 3 Kenya

Mimi sinaga wivu ka wewe sasa naeza umizwa na dar? Naeza umizwa na slum???? Aje sasa???Unaumia sana siyo. Nioneshe hiyo picha niliyorudia. Mimi siyo kama wewe. Weka hapa nione.
We inafaa ufike Nai ujidharau...na udharau iyo slum yenuUnaumia sana siyo. Nioneshe hiyo picha niliyorudia. Mimi siyo kama wewe. Weka hapa nione.
Majigambo bila evidence ni uselessBongolala mtaendelea kulala tu..nyinyi dar pekee mnajivunia sisi tukiwa na +10 mega towns
Ujaribu kuandika kwa kijifikirisha Kidogo!!Bongolala mtaendelea kulala tu..nyinyi dar pekee mnajivunia sisi tukiwa na +10 mega towns
Mimi sinaga wivu ka wewe sasa naeza umizwa na dar? Naeza umizwa na slum???? Aje sasa???
We inafaa ufike Nai ujidharau...na udharau iyo slum yenu
Narudia Hakuna mji wenye Slum TanzaniaMko na dar is slum..pekee
Hana huo ubavu si umeona amejinga ati MEGA, hizo ranking nani huwa anawapatia? mtia huruma sana ila hakuna namna itabidi tuwaonyeshe Kazi tu Tz nikiboko yaoUjaribu kuandika kwa kijifikirisha Kidogo!!
Tanzania ndio inamiji mingi kuliko Kenya!!
Tanzania bara ina zaidi ya mikoa 22 na makao makuu yamikoa hiyo ni miji
Tuna kuruhusu
nenda kaanzishe Arusha Vs Kisumu
kisha Uone mziki wake
Miji mbingi mbovu?? Ata kamjii ka Embu nilete picha hapa utatoroka mseeUjaribu kuandika kwa kijifikirisha Kidogo!!
Tanzania ndio inamiji mingi kuliko Kenya!!
Tanzania bara ina zaidi ya mikoa 22 na makao makuu yamikoa hiyo ni miji
Tuna kuruhusu
nenda kaanzishe Arusha Vs Kisumu
kisha Uone mziki wake