ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Tunaenda kwa utaratibu maalumu mbona hatufati utaratibu tulikua tumeingia kwenye ongoing below 20 mwenzako akanyayua mkono akasema defeated......kua mpole tunaenda kwa utaratibu tinaingia chaka kwa chaka baba hhahhhhaha usiogope sana😀😀😀😀It seems aliyeandika hii post kakosea au wewe ndio unayejua zaidi. Kazi yako ww ni kuzungukazunguka tu and you produce zero content to this thread. Haya, soma tena post at point no. 5 kisha ukimye. And btw, hauezi ongelea kitu ambacho hauna au hauwezi kukipata. wacha walio na uwezo kuzipata waongee.
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. FUTURE PROJECTS PROPOSED.
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Kama kiingereza kwako ni shida, enroll katika shule ya ngumbaru.