Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
WatajutaSix Lane za kibaha zikikamilika nina kibarua hapo
Uzuri waKenya ni watu wa bidii. Watu wa ajabu. Watu wa kujikakamua. Watu hatari sana. Ndio maana umaskini umekua ukipungua.
2005: 42%
2010: 36%
2018: 28%
TUUSAN, nafikiri unaona mtindo. Hata hivyo, hatuwezi kusema umaskini utaisha. Lazima kuwe na watu wenye tabaka ya chini katika society yoyote. Difference ni, waKenya ni watu wa kupenda kuimarisha maisha yao.
Bado hajaiva vizur...Kumbe umeiva Swa hivi
Ikiwa wapo wakenya wenzako wanamsifu.....sembuse wenye raisi wao....naah.... kila siku tunawaona wenzako wakimsifia Makufuli mara ohh ati 'Jiwe Chuma', 'Akhsante Magu', 'Magu Kiboko', 'Jiwe', 'Jembe' e.t.c
ni ushamba, ulimbukeni, uzuzu, uzwazwa, ujuha, undezi, upoyoyo... name them.
Kenya tuliacha mambo hayo nyakati za Moi. Saa hii ukipewa kazi, ni uchape kazi na sio kukenuakenua meno na kujishebedua na kujiona mfalme huku ukiwagawia wananchi wako mapaipai na kuona it's a big deal!!!
USHENZI.
leta link kua umaskini umepungua😂😂😂Uzuri waKenya ni watu wa bidii. Watu wa ajabu. Watu wa kujikakamua. Watu hatari sana. Ndio maana umaskini umekua ukipungua.
2005: 42%
2010: 36%
2018: 28%
TUUSAN, nafikiri unaona mtindo. Hata hivyo, hatuwezi kusema umaskini utaisha. Lazima kuwe na watu wenye tabaka ya chini katika society yoyote. Difference ni, waKenya ni watu wa kupenda kuimarisha maisha yao.
Eldoret is smart than kisumu period
Hao ni wehu wanatakwimu zao kichwanileta link kua umaskini umepungua
watu hawana ajira alaf umaskini unapungua vp![]()
Too many yet uselesstanzania kuna 8 telecommunications companies my friend![]()
Ikiwa hawana governorsThis is what every kenyan huwa wanashangaa...sasa when a road is being extended unaskia magu asifiwe...magu mungu wetu..magu mpaka milele...kwani hamna minister wa ujenzi....ama magu ndo anadetermine choo itajengwa wapi ama magu ndo kufungua lift ya kwanza nchi yao....nawahurumia kweli...
do you know what the term "history" means???Wacha historia. Leta vitu vya juzi au jana. Historia kila mtu anayo
Hii baridi itatumaliza