Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nataka nikuoe manzi wa nairobi....ili nikulete dar utoke huko kwa washamba .unaonaje....?
Hakuna place ya wajanja Africa kuliko Nairobi, infact madem wa Nai watakuchanua hio ushamba yako ya kitandale hadi ushangae hebu angalia sura zao vizurikwa streets uone kama ni za kishamba while their brains run @400kph yako iko 80kph. Alafu unadhani utawezana bro
mezze.jpg
street-scene-nairobi-picture-id538938707.jpg
nairobi-kenya-picture-id156601304.jpg
115028_b7fa5a6d77d343a280400bb0570c824c.jpg
 
Do you ever question your government..huku kenya atakam unasupport uhuru kuna mambo ambayo lazma uwe makini..ndo maana kila siku utaskia masiri zinafichuliwa..uko na hakaki kwamba mungu wenyu magufuli ni malaika...ye ni binadamu kama wewe..na we ndo umemwajiri kazi...ask about health..education .living conditions..infrastructure na muache kudanganya kama kuku kutupiwa mahindi....
Matakeo ni hapa hapa duniani, when the deal is too good think twice, endeleeni kufuga kunguni zikijazana matokeo yatajitokeza wazi mpende msipende!
 
Do you ever question your government..huku kenya atakam unasupport uhuru kuna mambo ambayo lazma uwe makini..ndo maana kila siku utaskia masiri zinafichuliwa..uko na hakaki kwamba mungu wenyu magufuli ni malaika...ye ni binadamu kama wewe..na we ndo umemwajiri kazi...ask about health..education .living conditions..infrastructure na muache kudanganya kama kuku kutupiwa mahindi....
kwa hiyo unataka kusema we ndo umemuajiri Kenyatta??
huwezi kuwa timamu wewe...
 
Wanaopaswa kuuliza hayo Ni wabunge ambao ndio wawakikishi wa wananchi, haiwezekan kila mtu akawa anauliza gov Maswali, hivyo basi mbunge anapokaa na wananchi kwenye jimbo lake anapewa changamoto Za sehemu husika na kuzifikisha bungeni ambako ndio yatapata majibu kutoka kwa mawaziri ambao ndio wanashughulikia kero za wananchi! !
Ikitokea hazijatatuliwa au hakuna majibu yanayoeleweka ndipo wtu hufikisha hayo mambo mbele ya kiongozi Wa kiserikal moja kwa moja kipitia ziara zao za kikazi katka maeneo husika
You guys are still living in a dictatorial world I mean how in the world does a president (Magu) Match to launch a plane! And make the issue a public rally? How? Those are things not even done by a governor in Kenya! Only the companies CEO & few stuff, you guys need to style up bana
 
Tofauti ya ke na TZ ni nn me naona kote ni maajabu tu ,nakumbuka uhuru alienda zindua daraja ili litumike kesho yake likavunjika...sasa ww unacheka jpm kuzindua ndege lakin unajisahaulisha madudu yenu,nyani hawezi kuona kundu lake kamwe
 
Hii thread inafurahisha sana, sasa ianakuaje watu wanaanza kuleta picha za madem wa Nairobi...
 
Back
Top Bottom