Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you ever question your government..huku kenya atakam unasupport uhuru kuna mambo ambayo lazma uwe makini..ndo maana kila siku utaskia masiri zinafichuliwa..uko na hakaki kwamba mungu wenyu magufuli ni malaika...ye ni binadamu kama wewe..na we ndo umemwajiri kazi...ask about health..education .living conditions..infrastructure na muache kudanganya kama kuku kutupiwa mahindi....
wanadanganywa na mapaipai.
yaani akishashiba mapaipai tu, utasikia 'Viva JPM' 😀
 
Do you ever question your government..huku kenya atakam unasupport uhuru kuna mambo ambayo lazma uwe makini..ndo maana kila siku utaskia masiri zinafichuliwa..uko na hakaki kwamba mungu wenyu magufuli ni malaika...ye ni binadamu kama wewe..na we ndo umemwajiri kazi...ask about health..education .living conditions..infrastructure na muache kudanganya kama kuku kutupiwa mahindi....
Wanaopaswa kuuliza hayo Ni wabunge ambao ndio wawakikishi wa wananchi, haiwezekan kila mtu akawa anauliza gov Maswali, hivyo basi mbunge anapokaa na wananchi kwenye jimbo lake anapewa changamoto Za sehemu husika na kuzifikisha bungeni ambako ndio yatapata majibu kutoka kwa mawaziri ambao ndio wanashughulikia kero za wananchi! !
Ikitokea hazijatatuliwa au hakuna majibu yanayoeleweka ndipo wtu hufikisha hayo mambo mbele ya kiongozi Wa kiserikal moja kwa moja kipitia ziara zao za kikazi katka maeneo husika
 
Ndio maana kuna karen na kibera..
Yani bora Dar kuna mbezi beach na manzese ,kule manzese ni uswahilini haswa lakini hakujafikia kiwango cha kibera. ..uchumi wenu unamilikiwa na group fulani kuna wengi wanaishi kama mateka
Hao wanaomiliki uchumi jinsi unavyosema TUUSAN, ndio sababu Kenya iko na the largest and rapidly growing middle class citizens in sub-saharan africa.

Usidhani Kenya tabaka ni mbili tu eti the rich and the poor. Hapo katikati kuna idadi kubwa sana ya hiki kikundi cha middle class citizens.

Habari ndio hiyo
 
Masikini atabaki kua masikini uko,msifikie tu wahindi kule kalkota watu wanakufa njaa kwa story hizihizi za kusema middle class inakua kwa kasi
Angalia nchi kama China matajiri wakubwa kulingana na pop yao sio wengi kama usa lakin wachina wengi wanaishi poa tu
 
Do you ever question your government..huku kenya atakam unasupport uhuru kuna mambo ambayo lazma uwe makini..ndo maana kila siku utaskia masiri zinafichuliwa..uko na hakaki kwamba mungu wenyu magufuli ni malaika...ye ni binadamu kama wewe..na we ndo umemwajiri kazi...ask about health..education .living conditions..infrastructure na muache kudanganya kama kuku kutupiwa mahindi....
hivi unayo akili sawa sawa wewe!!!living condition inatenganaje na miundombinu!???sasa tukimsifia raisi wetu kwa ujenzi wa reli au barabara wewe unapata mimba!!!.akizindua ujenzi wa kinu cha kufua umeme unapata tumbo la kuhara,why!!!!

elimu ya msingi sasa ni bure,afya ndio usiongee mzee.
 
Masikini atabaki kua masikini uko,msifikie tu wahindi kule kalkota watu wanakufa njaa kwa story hizihizi za kusema middle class inakua kwa kasi
Angalia nchi kama China matajiri wakubwa kulingana na pop yao sio wengi kama usa lakin wachina wengi wanaishi poa tu
Uzuri waKenya ni watu wa bidii. Watu wa ajabu. Watu wa kujikakamua. Watu hatari sana. Ndio maana umaskini umekua ukipungua.

2005: 42%
2010: 36%
2018: 28%

TUUSAN, nafikiri unaona mtindo. Hata hivyo, hatuwezi kusema umaskini utaisha. Lazima kuwe na watu wenye tabaka ya chini katika society yoyote. Difference ni, waKenya ni watu wa kupenda kuimarisha maisha yao.
 
Hao wanaomiliki uchumi jinsi unavyosema TUUSAN, ndio sababu Kenya iko na the largest and rapidly growing middle class citizens in sub-saharan africa.

Usidhani Kenya tabaka ni mbili tu eti the rich and the poor. Hapo katikati kuna idadi kubwa sana ya hiki kikundi cha middle class citizens.

Habari ndio hiyo
uchumi wa kibepari unajua misingi yake????Unajua sababu ya kuwepo eneo kama kibera hapo kati?unajua ni kwanini ni idadi kubwa sana ya watu wa hali hiyo na haishuki?na ni kwanini ni shughuli inayoishinda hata serikali kuondoa hilo eneo hapo???

KAA ENDELEA KUOTA MCHANA.
 
Sasa wewe uliyezaliwa na kuishi katika uchumi au kwenye mtindo wa ujamaa utanifunza/utawafunza waKenya nini kuhusu uchumi wa kibepari?

Pambaneni na hali yenu. Naskia siku hizi mnataka kuifata kiubepari pia.
 
Uzuri waKenya ni watu wa bidii. Watu wa ajabu. Watu wa kujikakamua. Watu hatari sana. Ndio maana umaskini umekua ukipungua.

2005: 42%
2010: 36%
2018: 28%

TUUSAN, nafikiri unaona mtindo. Hata hivyo, hatuwezi kusema umaskini utaisha. Lazima kuwe na watu wenye tabaka ya chini katika society yoyote. Difference ni, waKenya ni watu wa kupenda kuimarisha maisha yao.
Kumbe umeiva Swa hivi
 
Sasa wewe uliyezaliwa na kuishi katika uchumi au kwenye mtindo wa ujamaa utanifunza/utawafunza waKenya nini kuhusu uchumi wa kibepari?

Pambaneni na hali yenu. Naskia siku hizi mnataka kuifata kiubepari pia.
Ungekuwa unajua usingeandika ule upupu pale juu,ujamaa imefanya slum isiwepo dar.
kapambane na kibera kwanza.
 
he is your servant. you pay taxes that pays him to do that job.... haja gani kummiminia sifa kedekede?! tunawaona mafala sana mujue.....
Mbona nyie mnasifia uhuru....na hatuongei
Kipi kinachokuuma wakati raisi ni wetu na nchi ni yetu
 
Back
Top Bottom