tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
My friend wenye kusikia wamesikia,alichaguliwa afanye iyo kazi na ofcz aifanye kisawasawa,Mwisho wa siku tumuulize ulisema na uliahidi hiki kwanini hukutenda kwa wakati...This is what every kenyan huwa wanashangaa...sasa when a road is being extended unaskia magu asifiwe...magu mungu wetu..magu mpaka milele...kwani hamna minister wa ujenzi....ama magu ndo anadetermine choo itajengwa wapi ama magu ndo kufungua lift ya kwanza nchi yao....nawahurumia kweli...
Ni wajibu wa serikali kuyafanya hayo kwa kupengzwa au bila ya pongezi!!
Baba anaetunza familia yake vizur ni kawaida Ila asietunza ndio anafaa kuulizwa kwann hujitambui...
