Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado mko chini ya kenya na mbali sana kwa GDP infact mko LDC & yet you still have the guts to compete with us[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] but acha mjienjoy kubishana na sisi ju hio ndio mnajua sana kutushinda, all in all nawapa. 2 years muanze kukubaliana wenyewe kenya iko juu kuwashinda, already kuna watu hapa wanaonesha dalili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇

0CD44FAB-C515-4BA8-93DF-8E4C4AFE3911.jpeg
7112F7A7-9CC8-41A9-9047-75766912663D.jpeg
 
Hiyo ndio chanzo cha kusema you have the biggest telecommunications in EA?

[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kua na telecommunications nyingi maana yake communication is is cheap and affordable 😂😂😂👆👆👆👆
 
Bado mko chini ya kenya na mbali sana kwa GDP infact mko LDC & yet you still have the guts to compete with us[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] but acha mjienjoy kubishana na sisi ju hio ndio mnajua sana kutushinda, all in all nawapa. 2 years muanze kukubaliana wenyewe kenya iko juu kuwashinda, already kuna watu hapa wanaonesha dalili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wapi ile budget 😂😂😂👇👇👇👇

asante magu kazi tu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

This is what every kenyan huwa wanashangaa...sasa when a road is being extended unaskia magu asifiwe...magu mungu wetu..magu mpaka milele...kwani hamna minister wa ujenzi....ama magu ndo anadetermine choo itajengwa wapi ama magu ndo kufungua lift ya kwanza nchi yao....nawahurumia kweli...
 
my friend magu ndio head of state hio kwanza utambue kama vile kenyatta alivochukua robo ardhi ya kenya hio ushangai pia😂😂😂👆👆👆
 
Back
Top Bottom