Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni Ngombe ya wapi sasa? Karudi zizini!

Maisha yatakuaje matamu kwenu? Nakuambia wale wanaoishi slums zetu wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class ndugu.

Kisha nenda kadanganye watoto wajinga wenzako eti kwenu Hakuna vibanda. Ukitaka picha sema na utapewa. Shoga wewe
tuma picha za vibanda vya bati equiv to kibera humu.
 
tuma picha za vibanda vya bati equiv to kibera humu.
Kipawa ndio wapi sasa.. Sijui manzese. Napenda sana google

AMA HIZI NI SUBURBS ZA DAR??
images%20(3).jpg
images.jpg
images%20(1).jpg
images%20(4).jpg
images%20(2).jpg
images%20(5).jpg
 
Afadhali sisi tunakubali tunazo slums tena nyingi. Nyinyi hamuezi kubali. Inasikitisha sana, inaudhi sana na pia inachekesha sana.

MTZ ni Nyani asiyeona M*KUNDU wake
 
kwanza kwa anayoyafanya ni faida zaidi akibaki kuliko kuondoka,tatizo katiba hairuhusu,tunaongozwa na katiba.
Napenda sana anachojaribu Kufanya kuimudu corruption.

Lakini naogopa pia atawaficha
IMG_20180718_093526_894.jpg
 
The last time I checked, Kisumu has a bigger population than any of your "cities" ie Mbeya, iringa, Tanga and even Arusha. On matters education, Kisumu has campuses of all virtually universities in Kenta. The university if Nairobi just built their own tower in central Kusumu, a seven-storey building that they intent to upgrade to 17 floors. I doubt if Iringa and Mbeya have even a teachers college, let aloneva university. On matters infrastructure, hapo hata tusiende coz we've shared si many pictures of Kisumu roads here. I am yet to see such roads in mbeya or tanga being posted here. Kisumu has an international airports (Obama flew directly to Kisumu) while your "cities" of Mbeya and Tanga still have airstrips. naweza endelea zaidi, wacha nikome hapo kwa sasa

sasa ulitaka obama afly direct to Tanga kufanya nn...Mbeya Has an Int Airport , Obama Flew direct to Kilmanjaro Int Airport which is at the border of Arusha And Kilimanjaro,,
 
a single person owns a land that could be enough for a quarter population of whole country..!!arable land owned by white settlers,then,they grows the flowers,meanwhile the northern Kenyans die hungry..
halafu yanashangilia na kujidanganya eti ni ubepari, HUU NI ZAIDI YA MTINDIO WA UBONGO!
 
Hehehehe apologists wa CCM wanakuja mbio sana kutetea huu unyanyasaji. Geza Ulole , ichoboy01 , Annael , thisdayes , tuusan , REDEEMER. Mkikuyu- Akili timamu
Nafurahi sana Kuwa mKenya. Yaani kitu kama kibaya tutasema waziwazi na kufanya serikali iwajibike. We have that freedom of expression.

Hawa ma blaza wakitoa sauti kidogo tutasikia.. mara watashikwa watiwe mbaroni, Mara JF itafungwa, mara media ifungwe. No wonder they are so easy to control.

Forever Kenyan
 
Arusha si jiji hio ni Town infact hata Malindi imeishinda by far
cjawai ona mtu ana hasira kama wewe ,,kwanza umenichekesha san Sasa unataka tujenge tunnel ya nini kila kitu kinajengwa kutokana na purpose haujengi tu vitu ovyo ,kwahyo wewe city ikiwa na tunnel na flyover una conclude ndo the best city ,huu ni uppuzi wa grade 2 pupil, alfu Malindi can be compared to Lindi not arusha , hapo umejinyea sana
 
endelea kuokota picha za google na kusema dar hehehhe hapo ndipo hua munanifurahisha sana😀😀😀
Kawaida yako huwezi kungamua, kuelewa na kukubali kuwa mnazo informal settlements Dar pia. Wewe ni Nyani asiyeona m*KUNDU wake.

Nitakuja hiyo Dar yenu next month kutalii kama Obama. Nitapiga picha halisia na niziweke humu ndani. KITAELEWEKA!!
 
sasa ulitaka obama afly direct to Tanga kufanya nn...Mbeya Has an Int Airport , Obama Flew direct to Kilmanjaro Int Airport which is at the border of Arusha And Kilimanjaro,,
huyo ni miongoni mwa wakenya vilaza sana wenye hasira kali sana😀😀😀😀
 
Kawaida yako huwezi kungamua, kuelewa na kukubali kuwa mnazo informal settlements Dar pia. Wewe ni Nyani asiyeona m*KUNDU wake.

Nitakuja hiyo Dar yenu next month kutalii kama Obama. Nitapiga picha halisia na niziweke humu ndani. KITAELEWEKA!!
ukija unitafute nikusafishe tongo tongo ziligandana hapo😀
 
ukija unitafute nikusafishe tongo tongo ziligandana hapo😀
Wewe siwezi taka kuwa karibu na wewe kwa sababu utaniambukiza UJINGA

Nilishakueleza kitambo, nawahurumia wale unaotangamana nao on a daily basis.

Wewe ngoja! August holidays nakuja kuipiga picha Dar. Sehemu nzuri mlizotuzoesha hapa JF na pia sehemu hamutaki kukubali na kutuonyesha. KITAELEWEKA!!
 
Back
Top Bottom