Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

una mtindio wa ubungo! wakenya hawa hawa tunaowaokoa kwa kuwapa mahindi kila mwaka hahahahahahah
Economy ya Kibera pekee apana cheza nayo. Hawa ni watu matajiri chini ya maji. Wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class, ndugu
 
una mtindio wa ubungo! wakenya hawa hawa tunaowaokoa kwa kuwapa mahindi kila mwaka hahahahahahah
Tunanunua mahindi kwa pesa zetu. Qatar ni jangwa wananunua chakula kutoka nchi zingine lakini hio haimaanishi Qatar ni masikini. Kenya tunanunua chakula kutoka kwenu ili wakulima wenu wapate pesa
 
in Tanzania permanent houses ni nadra sana nowonder kila sehemu ya permanent house ni city........huko hata kendu bay ingeshawekwa city kitambo gani.......I think it's therapeutic to their souls to call any collection of settlements city
wavha kendu bay....ungeskia Keroka City
 
ndoto za alinacha 😀😀😀😀
What other evidence do you want kubali Maramoja kuwa mngwana bana...
Youtube: Nairobi is the best.
Google: Nairobi the best.
Novels: Jiji kuu la Nairobi.
Media: The green City Nairobi
Investors: The business Nairobi.
Nyerere: Watanzania mtembee Nairobi kabla muende ngambo.

WHAT OTHER EVIDENCE DO YOU NEED BANA Hapa hapa Jamii forum a good number of Tanzanians wamewaeleza vizuuri How ahead Nairobi is ju wamefika....wasanii wenyu Wanaimba Nairobi...East Africa woote they look forward to visit this great City...a few years ago Nairobi's Tusker was promoting east African Music (TPF) which brought contestants from allover East & Cenral Africa Showing how influential we are...bado Huoni jamaa...WE LEAD YOU FOLLOW PERIOD!
 
Ati kenyarra na wazungu wameshikilia uchumi

Hawasikii Kenyan economy is one of the most diverse economies in Africa manze
To Top it UP We set the pace
Screenshot_20180717-191936.jpg
 
Economy ya Kibera pekee apana cheza nayo. Hawa ni watu matajiri chini ya maji. Wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class, ndugu
Hajui kwahizo hizo Mabati ndio Great things come from...e.g Obama & Octo from Gheto to states KENYA NI INCHI YA MIUJIZA SANA I LOVE BEING KENYAN...
Just as the Origin of the Word Kenya -(Gods Resting Place) we set tha pace
-M pesa kenya
-Sport pesa kenya
-Lupita nyongo kenya
-Obama kenya
-Wanyama kenya
etc..Great things Come from kenya bana Tz labdo Ubongolala ndio Mshawahi produce.
Octopizzo-and-his-wife-go-back-to-Kibera.jpg
zkzcp7nofkvq6mb3p58299ca3b33d0.jpg
kibera.jpg
kibera-1.jpg
article-2290803-0A95C4F8000005DC-442_634x435.jpg
obama-kenya-01.jpg
 
Haha yaani watu wanaokaliwa nchi yao wanapata nguvu ya kupiga vifua hapa. DICKtatorship cannot be tolerated in Kenya
IMG_20180718_075422.jpg
 
Wachana na hawa watanzania....Arusha is small compared to kisumu.......hiyo ipambane na kericho
khekhekeh leo mumeonja joto la hiwe dhidi ya arusha na mwanza huku nairobi ikipokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa dar😀😀😀😀😀
 
Nairobi comes as a surprise...polepole ndio mwendo were it not you who once named avic a dream but when it rose ulifunga bakuli hata hutaki ku skia hio story....the same way utanyamaza as these buildings rise one by one & imagine hatuta kuaibisha we shall post these pictures hapahapa just as we did before ubaki kuesabu flooors hadi 70th floor then story za building hamtawahi ongelea utaanza ohh njaa iko kenya ohh Nairobi ni ya Uhuru family ohh employment ohh kibera of which i doubt kama itakua ina exist while GDP yetu inarate 180bn and above nyinyi mkiwa 80bn Hapo ndio utajua Kenya sio Tanzania
mm nilishakupa simple logic wala haitaji hasira nyingi kufikia density ya dar my friend chukua nairobi + msa+ kisumu+kampala+ kigali kidogo mutaanza kunusa harufu ya dar nje hapo unatwanga maji kwenye kinu tatizo lenu nyinyi hufkiri sehemu ikishakua na mall basi ishakua city huo ndio ujinga mliojazwa na wazungu😀😀😀 munashindwa kutazama basic needs munaishia kwenye malls
 
Yania mnajenga the 1st flyover in Dar na mnaona mshatushinda kwa road infrastructure Kweli Bongolala ni Bongolala hii ni ugonjwa aki
sisi tunajenga flyover panopobidi kujengwa na sio tujenge flyover wakat barabara zinazozunguka mijini zinatosha alaf nilikupa hii video itazame vzr ujifunze kitu😀😀
 
Hii town iko chini sana. Hii ndio Arusha? Arusha bado sana kwa Kisumu. Itabidi Arusha irushe mikono juu na kusurrender
hehhe alijaribu mwenzio akayokwa na kamasi😀😀 yeye alijua ni ile tz ya 90s alivakia kutokwa na hasira
 
bongolala ni wakenya mnaoishi katika slums (THE BIGGESST SLUMS IN AFRICA AND IN THE WORLD) huku watu wachache sana pungufu ya asilimia kumi wana milki ardhi yote yenye rutuba na uchumi wa kenya, ENDELEENI KUWASINDIKIZA KENYATA NA WAZUNGU WACHACHE KATIKA MAENDELEO.
leo umekubali kua nairobi ndio ina biggest slum in the world hehehhe 😀😀😀😀😀😀
 
I can see you are exposing yourself, umezoea kufanyia muhindi kazi hadi sasa unafakiri kila mtu anafanya huko. I work in lab my friend which is white collar job.
huku bongo watu wana issue zao,tukikuona mwanaume unauliza kazi anayofanya mwanaume mwenzio,tunaweza tukadhani huenda we shoga!ni mademu tu ndo wenye tabia za kuuliza kazi wanazofanya wanaume,be careful!!
 
What other evidence do you want kubali Maramoja kuwa mngwana bana...
Youtube: Nairobi is the best.
Google: Nairobi the best.
Novels: Jiji kuu la Nairobi.
Media: The green City Nairobi
Investors: The business Nairobi.
Nyerere: Watanzania mtembee Nairobi kabla muende ngambo.

WHAT OTHER EVIDENCE DO YOU NEED BANA Hapa hapa Jamii forum a good number of Tanzanians wamewaeleza vizuuri How ahead Nairobi is ju wamefika....wasanii wenyu Wanaimba Nairobi...East Africa woote they look forward to visit this great City...a few years ago Nairobi's Tusker was promoting east African Music (TPF) which brought contestants from allover East & Cenral Africa Showing how influential we are...bado Huoni jamaa...WE LEAD YOU FOLLOW PERIOD!
maneno mengi nonsense hehehheheh kukimbizana na dar ni sawa na unakimbiza upepo hehhe miaka 10 tu ya developments kamasi za matakoni zimewatoka kisawasawa😀😀😀 tena munafaa muishkuru sana jamii forum imewafungua sana macho
 
Back
Top Bottom