Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiukwel Nairobi iliongoza kwa kipindi chake ila kwa sasa mmh tafadhalin kubalin tu kua sasa Daresalaam sio ligi yenu asee. Najua ukwel mchungu ila hatuna budi kuwapungia mikono ya kwaheriiiiiii. Bravo My Country Tanzania.
Not yet, mapicha yasikudanganye, tembea pole pole ufike, ushuhudie. Muna mambo machache mumepiga hatua, BRT, na stadiums.., Dar iko tu pana sehemu kubwa ni maisha duni, not city standards, am not talking of slums, average Dar residents ni kama wa mashinani!! Dar na Mombasa munafanana!
 
Dar bado, mapicha yasikudanganye!!, kuna tofauti na Nairobi, hamjafika, the bigger part average Dar residents wanamaisha duni, am not talking of slums, am talking of residents, maisha kama ya mashinani! Mombasa na Dar hakuna tofauti, ila size na wingi wa watu. Port, hotels, beach, Kiswahili sanifu, nyumba za kiswahili mingi mno not modern lookin, the modern are in upper class estates which are handful..etc.,
 
incase you are asking yourself the name of country from which these pictures were taken, it is tanzania.
FB_IMG_1531757084949.jpg
FB_IMG_1531757081151.jpg
Screenshot_2018-07-16-19-04-53-840_com.facebook.katana.jpg
 
Not yet, mapicha yasikudanganye, tembea pole pole ufike, ushuhudie. Muna mambo machache mumepiga hatua, BRT, na stadiums.., Dar iko tu pana sehemu kubwa ni maisha duni, not city standards, am not talking of slums, average Dar residents ni kama wa mashinani!! Dar na Mombasa munafanana!
ndio akili yako ilipoishia heheh😀😀 nairobi haitakaa tena kuingia kwa dar mpaka yesu ashuke kama ulijua hii ni ile dar ya 90s basi nakupa pole sana tena sana
 
Kiukwel Nairobi iliongoza kwa kipindi chake ila kwa sasa mmh tafadhalin kubalin tu kua sasa Daresalaam sio ligi yenu asee. Najua ukwel mchungu ila hatuna budi kuwapungia mikono ya kwaheriiiiiii. Bravo My Country Tanzania.
na ukweli wanajua ila sasa kuamini ndio tatizo ndio maana unaona wanalia sana hapa wao walijua ni ile tz ya 90s kumbe watu wameitumia 10 yrs kujenga nchi wao hawana habari leo wanatahamaki hawaamini wanachokiona 😀😀😀😀😀
 
sasa kama baba yake na mombasa,nairobi kanyanyua mokono hewani mombasa ndio ni gani???
hehehhe mombasa ni ushuzi mtupu 😀😀😀
mm niliwaambia mukitaka kuikaribua density ya dar chukua nairobi + msa + kisumu+ kigali+kampala kidogo mutaanza kuinusa hehehhe
 
Not yet, mapicha yasikudanganye, tembea pole pole ufike, ushuhudie. Muna mambo machache mumepiga hatua, BRT, na stadiums.., Dar iko tu pana sehemu kubwa ni maisha duni, not city standards, am not talking of slums, average Dar residents ni kama wa mashinani!! Dar na Mombasa munafanana!
kuachwa ni kuachwa tu mzee,wewe ukihesabu BRT nitakuletea idadi ya majengo dar,ukihesabu stadium nitakuongeza na
 
Angalia maendeleo in comparison to volume ratio ya raiya! hamjafikia Nairobi, though we are not yet where we are supposed to be, ndio maana nyie LDC, and you are likely to take longer there.
 
unaandika nini wewe??mbona unataka kutia aibu??

nikuulize hiyo GDP mnayotuacha kwa zaidi ya miongo mitatu sasa,ndio imewasaidia kufikia hayo maendeleo ya nairobi mnayotupigia kelele humu siku zote!!!!!ni aibu kujidai kwa hili mzee,bora ungekaa kimya.
 
hehehhe mombasa ni ushuzi mtupu 😀😀😀
mm niliwaambia mukitaka kuikaribua density ya dar chukua nairobi + msa + kisumu+ kigali+kampala kidogo mutaanza kuinusa hehehhe

Nairobi =DAR+MWANZA +MBEYA +ARUSHA +MOSHI +TANGA
KENYA =TANZANIA Plus all your cities and villages... That's why Kenya's Economy is 80bn while Danganyikan is 56bn
 
Kule Tanzania kila kitu ni city....usishangae ndugu yangu. Kisii, Kutale na Kericho zingekywa Tanzania saa hii zingekuwa cities. They have like ten cities in total!
ingefaa uulize kwanza kwa namna gani title city inapatikana tz,huko kwenu mpaka mji uwe na mall ndio uitwa city,huku sisi tunaangalia idadi ya watu.
 
Kule Tanzania kila kitu ni city....usishangae ndugu yangu. Kisii, Kutale na Kericho zingekywa Tanzania saa hii zingekuwa cities. They have like ten cities in total!

I have asked all these imbeciles to show me the skyline of Mbeya and they all ducked..... A city hiyo
 
Back
Top Bottom