Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

one road dar es salaam
screenshot_2018-06-25-10-36-04-70-png.810785
 
Who said? Kenya ni Africa, what we do ni kuchallenge your citizens' thinking about Kenya. No one denies our shortcomings, lakini haziko the way they are exaggerated in several writings., ndio maana wale watz wenye uwezo wa kutembea mahali pote Nairobi wanakubali Nairobi bila ubishi si wale wanafika river road, mahali mabasi ya kutoka Dar hupakia, na wanaishi sehemu kulingana na mfuko yake., the rich Tanzanians, nawapenda sana, wanafika na V8 ama Range, very reasonable. Wanasema maoni yao open and clear, wako na uwezo wa kuzunguka, hawategemei mtandao.


I too agree with this point, most of them even have businesses here that do well, i know some wanajua purchasing power huku iko on point
 
mukiacha corruption na wizi kama alivosema obama mutafika tu hehheeh nchi inakufa mikononi kwa jubilee hvi hvi😀😀😀 watu wamechukua nusu ya ardhi ya kenya wengine wamekopa pesa kwa ajili ya matumbo yao mpaka debt to GDP kufikia 60% hehehheh
210B6637-1FE5-4F69-9792-779274E3625D.jpeg
 
Back
Top Bottom