Nonsense kivipi? wewe hauwezi kubali ukweli kuhusu Kenya., lako ni kufikiria Kenya watu wanaumia, propaganda za CCM toka nyakati za Nyerere, wakijibizana na Jomo Kenyatta., watanzania wamefanywa kuamini wakenya ni wabaya, wajanja na raiya hawana mashamba!!

pole sana!, mkenya akienda Tanzania shughuli za kibinafsi raiya wa kawaida na pia polisi wanamshuku sana, wengi hunyanyaswa sana!, my cousin aliwekwa kizimbani, polish walimshika kwa atm akitoa pesa wakamsingizia alitaka kuiba benki!!, ni Raila Odinga alipiga simu kijana na rafikiye akaachiliwa, the father was an mp kwa party ya Raila (ODM)., mtanzania alitembea Kenya ama kuishi hakuna mtu huwa na shughuli naye., ata kama ako na kibali ama hana, he can't be bothered. Nyie you have a wrong and misconstrued perception ya Kenya kabisaa!., Your government's inability to perform and serve its people inafunika uchi through propaganda and controlled media, na kuonyesha Kenya iko na shida hata kuliko Tanzania ili kupumbaza raiya.
Mko na tabu sana, ldc, extreme poverty, na bado hatujaongeza the relative poor populace!.,