Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehhehe mukaze kamba kweli kweli😀😀😀
picha moja imebeba nairobi nzima hii picha moja haijamaliza kariakoo hata nusu
View attachment 810912
Usiabike...ni kwenyu
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750-1.jpeg
 
Kiukwel Nairobi iliongoza kwa kipindi chake ila kwa sasa mmh tafadhalin kubalin tu kua sasa Daresalaam sio ligi yenu asee. Najua ukwel mchungu ila hatuna budi kuwapungia mikono ya kwaheriiiiiii. Bravo My Country Tanzania.
 
Dar si ligi yetu. Ni ligi ya Mombasa
 
Back
Top Bottom